Ziito Kabwe ameongea ukweli mchungu

Ziito Kabwe ameongea ukweli mchungu

BIASHARA ndio njia pekee ya kukufanya ulinde na kuongeza mtaji wako. Mara nyingi Kufunga Biashara sio kulinda mtaji bali kuupunguza kupitia matumizi.
Wengi hawafungi bali wanabadili na wapo wachache wanaohamisha biashara zao.
Dhana ya wapiga deal ni sahihi kwa zaidi ya 50%..
Hakuna mfanyabiadhara mwaminifu..
Wenyewe wamekiri kutoa rushwa japo wanasababu..
Rais amekuja na ushahid wa makampuni 17000 ya kitapeli.
Wako wenye mauzo bilion wao huonyesha milion 20.
Wako kina Kaluwa wazee wa ganji la bilion 4
Hawa wakifunga kwa nini tusiseme ni wapiga deal

Sasa kama ni wapiga dili kinachowauma ni nini? Acheni wafunge na wasepe na nyie mkae na hao wachache ambao siyo wapiga dili, inashangaza kuona mnataka kukaa chini na wapiga dili muombe poo
 
Mlevi Zito. We ongeza konyagi tuuu na mke wa marehemu.

Hicho ndo unachokiweza.

Nchi we ishi bure. Jimbo lenyewe la kogoma mjini utalikia tu kwenye bomba 2020
 
Mkuu ndipo lilipo tatizo basi. Woga! Mmoja akipotea tukijitokeza kwa malaki kuulizia yuko wapi kesho hatapotea tena mwingine. Unafanya kosa kubwa kufikiri atakuja kuingia kiongozi atakayebadili mfumo bila kusimamiwa na watu. Wakati wa Kikwete mnayemsifia na kusema alijali demokrasia mbona kina Dr Ulimboka walifanyiziwa. Tatizo kubwa ni kuwa wale wanaopenya na kushika nafasi za juu wengi wao wana malengo mengine. Mara nyingi mfumo haurusu mtu mwenye nia njema kushika uongozi. Mara nyingi ni wale wabaya tu japo kuna exceptions mara chache.


Hapo ndio penye tatizo , Woga , lakini kila kitu kina muda wake

Syria ilikuwa kama Tanzania , miaka kama 10 myuma , mama watoto wangu alikuwa akisoma kitabu cha Muiraq aliyekimbilia Sweden na akarudi kwenda kuoa Iraq . Ili kumpatia visa mke wake ilibidi waende Syria , hayo waliyoyaona huko Syria ni kama hayo ya TZ na nikamwambia mke wagu hii nchi haifiki muda mrefu kutatokea vurugu.

Haikufika hata miaka miwili hali ikabadilika , vurugu zikaanza,

Mkuu kila kitu kina ustahamilivu wae , pressure ikiwazidi , itapasuka tu,

Hiyo pressure ya TZ bado inastamiliwa na itafika mahali hali haiwezi kustahamilika.

Syria ni mtoto ndiye aliyeanzisha vurugu , Sudan ni mwanadada , Tusubiri TZ
 
Zitto hana jipya ni opportunist kama walivyo wengine. Yeye ndiyo alieandaa mkutano na hao wafanyabiashara? Tulioangalia tulimsikia Rais akiwasisitizia kutoogopa na waseme yooote ili kama kutatua matatizo yatatuliwe. Zitto ni kati ya watu nisiowaamini na sitowaamini maisha.

Sidhani kama Zitto anahitaji kupata imani kutoka kwa mtu kama wewe, ningekushauri ukae na imani yako tu
 
Ukweli ni kuwa Mh. Rais amefanya makosa mengi sana kwenye uchumi, demokrasia na haki za binadamu.

Tunachoshukuru ni kuwa na yeye ameanza kuyatambua makosa aliyoyafanya lakini kwa bahati mbaya damage iliyofanyika ni kubwa, na ni vigumu sana kuyaondoa madhara yake hata kwa miaka kumi. Leo Tamzania imeingizwa kwenye kundi la risk countries for foreign investments.

Makosa yaliyofanyika katika awamu hii yanatukumbusha umuhimu wa katiba mpya ambayo haimpi mtu mmoja mamlaka ya kufanya chochote anachokitaka bila ya kushirikiana na taasisi nyingine.
Na ndio hapo tujue kuwa rais huyu ni wa hovyo kuwahi kutokea....huwezi kuharibu vyote kwa pamoja

1. Uchumi
2. Utawala Bora
3. Haki za Binadamu
4. Demokrasia
5. Ustawi wa Jamii
6. Mshikamano

Huwezi kuharibu vyote hivyo kwa pamoja Kama una akili timamu
 
Watanzania tumerogwa, siyo bure!
Zito Kabwe atahongwa na nani kutetea Bandari ya Bagamoyo? Haiingii kwenye kikao chochote cha maamuzi. Wanaoingia ni MAKADA WA CCM, ambao ndiyo wameingia mikataba yote ya hovyo tangia awamu ya pili.
Kwa hiyo kama yupo wa kumhonga Zito Kabwe, basi ni wale MAKADA WA CCM, walioingia makubaliano ya kifisadi kuhusu Bandari ya Bagamoyo.
Ukweli mchungu ndiyo huu: CCM NI JANGA LA KITAIFA.
Wanaoitetea wote ni WASALITI Wa Taifa letu!

Sasa ukweli ni upi?
Ukisema CCM ni janga utaitwa msaliti alietumwa na waitwao Mabeberu (EU, UN &US)
Ukisema CCM ndo chama cha kumkomboa mtanzania mnyonge utaitwa msaliti wa taifa.

Msaliti halisi ni yupi????
 
One thing really boggles my mind. Inawezekanaje makosa haya makubwa na ya kisera kufanyika chini ya chama kikongwe, chenye misingi bora kabisa, uzoefu wa miaka mingi na sera zinazoeleweka? Something is terribly wrong somewhere. Uchambuzi wa kina unahitajika kupata ufumbuzi endelevu. Kwa uzoefu tuliopata katika miaka hii minne nadhani hata ile rasimu ya Warioba haitoshi!
Engine ya Chama Ni Kamati Kuu na Secretariat zake. Waliopo huko Kama si vikongwe waliojichokea, ni vijana waliojizeekea kabla ya umri. Akina Pole Pole. Hawa wanachojuwa Ni kutengeneza propaganda uchwara ili bora liende.
 
Sasa kama ni wapiga dili kinachowauma ni nini? Acheni wafunge na wasepe na nyie mkae na hao wachache ambao siyo wapiga dili, inashangaza kuona mnataka kukaa chini na wapiga dili muombe poo
Nani kaomba poo..
Kuna kampuni 17000 JPM kampa Majaliwa azishughulikie huko ndio kuomba poo.

Wanatimiza wajibu kutengeneza mazingira muafaka kwa wadau wa kodi ktk mazingira ya win win situation kwa ajili
 
Back
Top Bottom