Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,574
- 164,449
Zitto Kabwe:
Wakati Biashara zinafungwa mawaziri walikuwa wanasema kuwa wanaofunga ni WAPIGA DILI. Leo nimeshangaa kuona eti Rais anashangaa kwanini Biashara zinafungwa. Eti na maagizo yanatoka kuwa TRA isifunge Biashara za Watu sababu za Kodi. Biashara zaidi ya 200K zimeshafungwa!
Ziito Kabwe:
Leo siku nzima nimefuatilia Mkutano wa Rais Magufuli na Wafanyabiashara kutoka nchi nzima. Nawapongeza Wafanyabiashara waliojitoa bila woga kueleza hali halisi. Yote yaliyosemwa tumekuwa tukiyasema Bungeni na Nje ya Bunge. Fikra zangu kuwa tunahitaji Uongozi mpya zimeimarika
Zitto Kabwe:
Ninawasihi Watanzania kuwa tusipumbazwe na haya ‘mateke ya punda anayekata Roho’. Serikali ya CCM ya awamu ya 5 chini ya Rais Magufuli haipaswi kuongezewa hata siku moja Ikulu. Njia ya uhakika kurejesha Uchumi wetu kwenye Reli sahihi ni kufanya MABADILIKO.
Zitto Kbwe:
Baada ya mkutano ule wa Rais Magufuli na Wafanyabiashara nimetazama makadirio ya makusanyo ya Kodi za Wafanyakazi nchini kwa Bajeti ya 2019/2020 na nimekuta makadirio yameshuka kwa zaidi ya TZS 500 Bilioni. Hii maana yake ni kuwa ajira rasmi zimeshuka sana
Chanzo:Ukurasa wake wa twitter.
My take:
Ipo siku tutakuja kuelewa ukweli huu wakati tukiwa tumechelewa.
CCM ni wajanja sana tumieni akili watanzania(hapa kuna siasa inaendelea).
Kushughulikia watu wachache kwa faida ya chama na kiongozi wao kwao si tatizo.
Maandalizi ya 2020 yanaendelea.
www.jamiiforums.com

Bora kuishi na slow learners wa darasani,kuliko kuishi na slow learners wa mambo ya siasa na wanasiasa
Kuna mwanasiasa mmoja aliwahi sema kuwa watu wa chama fulani(wengi wao) ni slow leaners ambao huelewa mambo kwa kuchelewa kwani kila wanapowaonya au kuwashauri,huwa hawasikii mpaka mpale mambo yanapokuwa yameharibika au matatzo kujitokeza. Kwa msingi huo huo,baadhi ya watu fulani eti sasa ndio...