Zifuatazo ndio sifa za super woman

Zifuatazo ndio sifa za super woman

Tajiri Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2020
Posts
707
Reaction score
742
Habarini za leo wakuu,

Naombeni tuorodheshe sifa za super woman wakuu ili dada zetu wapate kuzitambua maana kumezuka wimbi la baadhi ya wadada wapanga mistari barabarani wanawake tegemezi hadi muda mwingine ukiamka bila kumwachia pesa ya mboga mezani anavimbisha mdomo nao wanajiita super woman.

Hiyo sio halali kabisa yaani kuna watu ukiwaona jinsi wanavyo fight unasema Yes this is super woman.
 
Duh mzee umeanzisha nyuzi ya kozi zenye fewer people ukasome sahivi sahivi ushapata superwoman wa kumwachia hela ya mboga... Upo vizuri.
 
Duh mzee umeanzisha nyuzi ya kozi zenye fewer people ukasome sahivi sahivi ushapata superwoman wa kumwachia hela ya mboga... Upo vizuri.
Hahahaaaaaa, mkuu si unajua tena zama za Magu za viwanda hizi mkuu lazima twende kiviwanda viwanda unatengeneza ilani yako mapema lasivyo utasugua gaga sana mtaani
 
lazima awe mzuri kisha anipende, huyo lazima nimpe cheo cha super women
 
Habarini za leo wakuu,
Naombeni tuorodheshe sifa za super woman wakuu, ili dada zetu wapate kuzitambua maana kumezuka wimbi la baadhi ya wadada wapanga mistari barabarani wanawake tegemezi, hadi muda mwingine ukiamka bila kumwachia pesa ya mboga mezani anavimbisha mdomo nao wanajiita super woman. Hiyo sio halali kabisa yaani kuna watu ukiwaona jinsi wanavyo fight unasema Yes this is super woman.
Heheheiyaaaaaa.....kibongobongo wanaojita super women wengi ni masingle mother na walioachika hukoooo, Mimi kwa mtazamo wangu nadhani super women ni mwanamke ambae pamoja na kuwa na maumbile ya kike awe na kitu Cha ziada ili watu wakimuona wataman kuiga,pambana mwanamke cheka wakati ujao mmeo aone kitu Cha kujivunia toka kwako,wanao waone fahari kutoka tumbon mwako,fanya kazi mwanamke pambania ndoto zako na za watt wako,jitofautishe na wengine, kwa kumalizia km wewe mkristo kasome mithalo 31 ili mmeo aseme" binti za wengi wamefanya mema ila huyu mke wng amewazidi woteeee"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom