Zifuatazo ndio documents zilizotoka kimataifa kukubali maandamano ya D9 tarehe 9/12, tumieni hiyo fursa watanzania

Rungwe88

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
307
Reaction score
610
Mataifa mbalimbali duniani kama Marekani, Umoja wa Ulaya, Ghana, Africa Kusini, Australia, Kenya n.k wameonesha kusikitishwa na vitendo haramu kama ubakaji, utekaji, mauaji, ufiraji, kesi haramu za kisiasa, uvunjwaji mkubwa wa haki za kidemokrasia n.k vilivyofanywa na utawala uliopo nchini Tanzania ukiongozwa na samia.

Hivyo kwa wakati tofauti Mataifa mbalimbali duniani yameonesha kusikitishwa kwa vitendo hivyo na kutoa nyaraka mbalimbali kulaani vitendo hivyo zidi ya raia watanzania.
Kwa upande mwingine mataifa hayo yamekubaliana kwamba kuandamana ni sehemu ya haki za msingi za kiraia kuonesha hisia, mawazo, kupinga maovu n.k kwenda utawala husika.

Kwa maana hiyo mataifa mbalimbali duniani yameonesha kuunga mkono maandamano yaliyofanywa na watanzania kuanzia tarehe 29 oct na hata katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inaainisha kwamba maandamano ni moja ya haki ya msingi ya mwananchi.

Mtanzania hiyo ndio fursa adhimu uliyopata kuikomboa kutoka kwa hao mafisadi, waporaji, watekaji, wauaji n.k
Hivyo unatakiwa kuandamana kwa amani popote pale ulipo ukiungana wa watanzania wenzako nchini kote pia tukumbuke kwamba madhara ya utawala huu haramu uliopo unaoongozwa na samia kama utekaji, mauaji, ufisadi, huduma mbovu za jamii n.k tunapata watanzania wote bila kujali mkoa uliopo, dini, kabila lako n.k maana yake tuwe na maandamano ya amani bila kubaguana kidini, kikabila, mkoa n.k

Mikoa yote unganeni kuikomboa nchi yetu, mataifa mbalimbali duniani Sasa macho yao yote yapo Tanzania na wakiona nia ya dhati kwa kuonesha Umoja wa kukataa utawala huu haramu nao watatumia maandamano hayo ya tarehe 9/12 kama kete muhimu ya kuondoa utawala huu haramu.

Tunaipongeza mikoa kama Dar es salaam, Mbeya, Arusha, Mwanza, Shinyanga, Songwe, Mara, Geita, Dodoma, Kilimanjaro, Ruvuma, Iringa n.k kwa kuwa viongozi Bora katika maandamano ya tarehe 29 oct na mwamko wa tarehe 9/12 uwe mkubwa zaidi.

Wito kwa mikoa kama Tanga, Lindi, Mtwara, Morogoro, Singida, Tabora, Kigoma, Kagera, Katavi n.k unganeni na watanzania wenzenu kuikomboa nchi yetu nzuri sababu matatizo yanayoletwa na utawala huu haramu tunapata sote bila kubagua mikoa tuliopo.

Zifuatazo ndio documents zilizotoka kimataifa kukubali maandamano yanayopangwa kufanywa tarehe 9/12.

Karibuni tukomboe nchi yetu kwa uhuru wa mara ya pili

Screenshot_20251204-173948.jpg
IMG_7953.jpeg
downloadfile.jpg
IMG_7952.jpeg
1000505387.jpg

PhotoGrid_Site_1764870210712.jpg
 
Attachments

  • IMG_7949.jpeg
    IMG_7949.jpeg
    123.8 KB · Views: 7

Walete majeshi yafanye kazi
 
Nakushuri sana kwa thread yako
Wangelipatikana 100 kama wewe nadhani tz itabadirika
 
Wapo wengi sana hapa Tanzania ndugu tena zaidi ya hao 100.
Nikudokeze kitu tu kwamba kinachowakwamisha watanzania ni uthubutu sio kwenye maandamano tu bali kwenye maeneo mengi ikiwemo uwekezaji.
 
Kenya si walimpongeza mbona wanapiga uturn ghafla?
 
Mataifa mbalimbali duniani kama Marekani, Umoja wa Ulaya, Ghana, Africa Kusini, Australia, Kenya n.k wameonesha kusikitishwa na vitendo haramu kama ubakaji, utekaji, mauaji, ufiraji, kesi haramu za kisiasa, uvunjwaji mkubwa wa haki za kidemokrasia n.k vilivyofanywa na utawala uliopo nchini Tanzania ukiongozwa na samia.

Hivyo kwa wakati tofauti Mataifa mbalimbali duniani yameonesha kusikitishwa kwa vitendo hivyo na kutoa nyaraka mbalimbali kulaani vitendo hivyo zidi ya raia watanzania.
Kwa upande mwingine mataifa hayo yamekubaliana kwamba kuandamana ni sehemu ya haki za msingi za kiraia kuonesha hisia, mawazo, kupinga maovu n.k kwenda utawala husika.

Kwa maana hiyo mataifa mbalimbali duniani yameonesha kuunga mkono maandamano yaliyofanywa na watanzania kuanzia tarehe 29 oct na hata katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inaainisha kwamba maandamano ni moja ya haki ya msingi ya mwananchi.

Mtanzania hiyo ndio fursa adhimu uliyopata kuikomboa kutoka kwa hao mafisadi, waporaji, watekaji, wauaji n.k
Hivyo unatakiwa kuandamana kwa amani popote pale ulipo ukiungana wa watanzania wenzako nchini kote pia tukumbuke kwamba madhara ya utawala huu haramu uliopo unaoongozwa na samia kama utekaji, mauaji, ufisadi, huduma mbovu za jamii n.k tunapata watanzania wote bila kujali mkoa uliopo, dini, kabila lako n.k maana yake tuwe na maandamano ya amani bila kubaguana kidini, kikabila, mkoa n.k

Mikoa yote unganeni kuikomboa nchi yetu, mataifa mbalimbali duniani Sasa macho yao yote yapo Tanzania na wakiona nia ya dhati kwa kuonesha Umoja wa kukataa utawala huu haramu nao watatumia maandamano hayo ya tarehe 9/12 kama kete muhimu ya kuondoa utawala huu haramu.

Tunaipongeza mikoa kama Dar es salaam, Mbeya, Arusha, Mwanza, Shinyanga, Songwe, Mara, Geita, Dodoma, Kilimanjaro, Ruvuma, Iringa n.k kwa kuwa viongozi Bora katika maandamano ya tarehe 29 oct na mwamko wa tarehe 9/12 uwe mkubwa zaidi.

Wito kwa mikoa kama Tanga, Lindi, Mtwara, Morogoro, Singida, Tabora, Kigoma, Kagera, Katavi n.k unganeni na watanzania wenzenu kuikomboa nchi yetu nzuri sababu matatizo yanayoletwa na utawala huu haramu tunapata sote bila kubagua mikoa tuliopo.

Zifuatazo ndio documents zilizotoka kimataifa kukubali maandamano yanayopangwa kufanywa tarehe 9/12.
Karibuni tukomboe nchi yetu kwa uhuru wa mara ya pili
Hii inahusiana nini na Tanzania??

1765111976641.jpeg
 
Kenya si walimpongeza mbona wanapiga uturn ghafla?
Zile ni propaganda,

matatizo ya watanzania wakenya wanaona ni kama yao sababu tunaingiliana mambo mengi,
mfano mkubwa ni makabila yafuatayo yapo Tanzania na Kenya kama Masai, Meru, Kurya, Pare, Jaluo n.k
Hivyo wakenya lazima watupiganie.
 
  • Thanks
Reactions: naa
Back
Top Bottom