Emmanuel S Jonathan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 382
- 281
one plus ipo wapi!??
Hapo kwenye Huawei eti waanzilishi wa 5G imeonyesha kua hujui chochote kuhusu teknolojia.
Umeandika umbea badala ya taarifa zenye uhakika.
Hiyo sio sababu.Wewe ndo hujui teknolojia...Huawei ndo mzinduzi wa 5G na ameshapata tender ya kuinstall 5G Nchini Urusi
Sent from my iPhone using JamiiForums

Source ya hii plz1: SAMSUNG • Ni kampuni ya vifaa umeme iliyopo Korea Kusini. Wana shika nafasi ya 1 kutokana na ubora wa simu zao kama; Galaxy S20, Galaxy S11, Note 10 n.k.
2: HUAWEI • Hii ni kampuni kutoka China waanzilishi wa teknolojia ya 5G. Wana matoleo MaTaTa ya simu kama; Huawei P30 Pro, Mate X, Mate 20 Pro n.k. Pato lao ni $ 121.71 kwa mwaka
3: APPLE iPHONE • Hii ni kampuni kutoka Marekani ambayo ina mfumo wake wa kipekee wa kuendesha simu zao iOS. Wana simu kama; iPhone 11 Pro, iPhone X, iPhone XR n.k. Pato lao ni $33.3 kwa robo ya mwaka.
4: XIAOMI (MI) • Hii ni kampuni nyingine kutoka China. MI inasimama badala ya Mobile Internet, wamewekeza kwenye simu, Tv, Viatu n.k. Wana simu kama; Xiaomi Mi9, Xiaomi 8 Pro, Mi Mix 3 n.k. Pato ni $ 494 kwa theluthi ya mwaka.
5: OPPO • Hii ni kampuni nyingine kutoka China ilianzishwa mwaka 2016. Ipo pamoja na Vivo, One plus na Realme. Wana simu kama; Oppo A31, F15, A5, A9 n.k.
6: VIVO • Hii ni kampuni nyingine kutoka China ilianzishwa mwaka 2011. 2015 ikaingia kwenye 10 bora kwa Mara ya kwanza. Wana simu kama; Vivo ZIX, V17 Pro, S1 Pro, V 51 n.k. Umesambaza zaidi ya simu million 103.
7: MOTOROLA • Ilianzishwa mwaka 1928 pale Marekani. Mwaka 2007- 2009 iliyumba kiuchumi, 2011 ikaja kivingine. Wana simu kama; RAZR, Mate X, Motorola 24 n.k.
8: LENOVO • Kampuni nyingine ya China inatengeneza simu, komputa na vifaa vingine vya umeme. Pia kwenye simu hawapo nyuma japo walinakili aidia ya iPhone. Wametengeneza kama; Lenovvo Z2 plus, P2, K6 power n.k.
9: LG • Kampuni nyingine ya pili kutoka Korea kusini, LG inasimama kama Life Good's. Wana simu kama LG W10 Alpha, K415 n.k
10: NOKIA • Kampuni ya Nokia inatufungia kumi bora yetu. Ni kampuni kutoka Finland wana simu kama Nokia 2.3, Nokia 110, Nokia 2.2 n.k.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa.Ungempa credit yule jamaa wa twitter ulikoutoa.
Samsung Galaxy![]()
Huawei mate 8 cjw nayo cm maana apo imetajwa mate nin cjw1: SAMSUNG • Ni kampuni ya vifaa umeme iliyopo Korea Kusini. Wana shika nafasi ya 1 kutokana na ubora wa simu zao kama; Galaxy S20, Galaxy S11, Note 10 n.k.
2: HUAWEI • Hii ni kampuni kutoka China waanzilishi wa teknolojia ya 5G. Wana matoleo MaTaTa ya simu kama; Huawei P30 Pro, Mate X, Mate 20 Pro n.k. Pato lao ni $ 121.71 kwa mwaka
3: APPLE iPHONE • Hii ni kampuni kutoka Marekani ambayo ina mfumo wake wa kipekee wa kuendesha simu zao iOS. Wana simu kama; iPhone 11 Pro, iPhone X, iPhone XR n.k. Pato lao ni $33.3 kwa robo ya mwaka.
4: XIAOMI (MI) • Hii ni kampuni nyingine kutoka China. MI inasimama badala ya Mobile Internet, wamewekeza kwenye simu, Tv, Viatu n.k. Wana simu kama; Xiaomi Mi9, Xiaomi 8 Pro, Mi Mix 3 n.k. Pato ni $ 494 kwa theluthi ya mwaka.
5: OPPO • Hii ni kampuni nyingine kutoka China ilianzishwa mwaka 2016. Ipo pamoja na Vivo, One plus na Realme. Wana simu kama; Oppo A31, F15, A5, A9 n.k.
6: VIVO • Hii ni kampuni nyingine kutoka China ilianzishwa mwaka 2011. 2015 ikaingia kwenye 10 bora kwa Mara ya kwanza. Wana simu kama; Vivo ZIX, V17 Pro, S1 Pro, V 51 n.k. Umesambaza zaidi ya simu million 103.
7: MOTOROLA • Ilianzishwa mwaka 1928 pale Marekani. Mwaka 2007- 2009 iliyumba kiuchumi, 2011 ikaja kivingine. Wana simu kama; RAZR, Mate X, Motorola 24 n.k.
8: LENOVO • Kampuni nyingine ya China inatengeneza simu, komputa na vifaa vingine vya umeme. Pia kwenye simu hawapo nyuma japo walinakili aidia ya iPhone. Wametengeneza kama; Lenovvo Z2 plus, P2, K6 power n.k.
9: LG • Kampuni nyingine ya pili kutoka Korea kusini, LG inasimama kama Life Good's. Wana simu kama LG W10 Alpha, K415 n.k
10: NOKIA • Kampuni ya Nokia inatufungia kumi bora yetu. Ni kampuni kutoka Finland wana simu kama Nokia 2.3, Nokia 110, Nokia 2.2 n.k.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vivo1: SAMSUNG • Ni kampuni ya vifaa umeme iliyopo Korea Kusini. Wana shika nafasi ya 1 kutokana na ubora wa simu zao kama; Galaxy S20, Galaxy S11, Note 10 n.k.

mkuu hiyo chart ni kwa mpaka may 2020.si muda wote.Ninavyojua.
Ubora wa simu hupimwa kwa namna soko lilivyoipokea, ndiyo maana Nokia jeneza mpaka leo ni simu bora ya wakati wote kwa mwitikio iliyoupata sokoni.
Sasa hapa naona mtu kasema bora ila hajafafanua SI unit iliyotumika kuhukumu.
Hivi unaweza kuweka Lenovo na Motorola ila HTC, Google, One + na Sony umewatupia mbali?
Aisee hapana. Hili shimo sidumbukii
Haijui hiyo kampuni hizi kaokota tu kwenye net na kubandika hapa bila kufanya utafiti kidogo. Oneplus, Google pixel, HTC kweli ziko nje unategemea ninione plus ipo wapi!??