Zifahamu kampuni bora za simu Duniani kwa 2020

Zifahamu kampuni bora za simu Duniani kwa 2020

Ninavyojua.

Ubora wa simu hupimwa kwa namna soko lilivyoipokea, ndiyo maana Nokia jeneza mpaka leo ni simu bora ya wakati wote kwa mwitikio iliyoupata sokoni.

Sasa hapa naona mtu kasema bora ila hajafafanua SI unit iliyotumika kuhukumu.

Hivi unaweza kuweka Lenovo na Motorola ila HTC, Google, One + na Sony umewatupia mbali?

Aisee hapana. Hili shimo sidumbukii

Wewe acha kufanya mambo kwa utashi wako. Hao HTC google one plus na sony wameuza pic ngapi q1 ya mwaka 2020?

Haya list hii hapa ya q1
Screenshot_20200520-185655.jpg

Hao vivo na oppo wanafanya vizuri sokoni kuliko kampuni ulizotaja hapo juu.
 
Haijui hiyo kampuni hizi kaokota tu kwenye net na kubandika hapa bila kufanya utafiti kidogo. Oneplus, Google pixel, HTC kweli ziko nje unategemea nini

Hizo kampuni ulizotaja zimeuza pic ngapi 2020 q1?
 
Vifaa vya Huawei vinatumika ku-spy nchi nyingi.

Huawei ipo chini ya serikali kwa asilimia kubwa.

Kuna baadhi ya server zinazotumika na makampuni ya US yametengenezwa na Huawei wameweka backdoor kwa ajili ya kuziingilia.

Isitoshe kuna tech Huawei waliiba kwa kampuni ya At&t ndo ikawa sababu ya serikali ya US kuwa wakali na Huawei.

Hata vifaa vilivyofungwa jengo la UN Addis Ababa wameweka backdoor kukusanya taarifa zote.

Ripoti nyingine utazidi kuzipata google, acha uvivu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Haya mambo ya china kuspy hayana ushahidi unlike US kuspy watu ambapo ushahidi uliwekwa mezani na hakuna mtu alikanusha.

Me mtu akiniambia china anaspy bila kuwa na proof naona ni porojo.

Hivi unajua ni makampuni mangapi yapo chini ya serikali ya china?
 
Wewe acha kufanya mambo kwa utashi wako. Hao HTC google one plus na sony wameuza pic ngapi q1 ya mwaka 2020?

Haya list hii hapa ya q1 View attachment 1455128
Hao vivo na oppo wanafanya vizuri sokoni kuliko kampuni ulizotaja hapo juu.
Hivi umeona hoja yangu ilipoegemea? Nimesema huwezi weka Motorola na Lenovo wewe unasema Vivo na Oppo chief vipi?
 
mnazungumzia ubora kwenye nn,bei nzuri au most valuable companies..kuna kipindi kimoja cha mambo ya technology huwa wanaelezea ubora wa simu na walieleza simu bora 2020 kwa tofauti na mapenzi yako

  • Best camera: iPhone 11 Pro
  • Best Android: Samsung Galaxy S20/S20 Plus
  • Best display: OnePlus 8 Pro
  • Best for fast charging: Oppo Find X2 Pro
  • Best iPhone: iPhone 11
  • Best for specs: Samsung Galaxy S20 Ultra
  • Best big phone: Samsung Galaxy Note 10 Plus
  • Best for clean software: Google Pixel 3a
  • Best for Google: Google Pixel 4
  • Best value flagship: Xiaomi Mi 9
  • Best value 5G: OnePlus 8
 
Hivi umeona hoja yangu ilipoegemea? Nimesema huwezi weka Motorola na Lenovo wewe unasema Vivo na Oppo chief vipi?

Haya ulitaja kampuni kama HTC hivi unajua hata kinachoelendelea kwenye hiyo kampuni? Simu nzuri waliyotoa mara ya mwisho ni HTC U12+ Miaka miwili iliyopita. Infact saiv ni kama wamejifia hivi.

Kwa upande wa motorola sijui ila lenovo anatoa simu kali kwa bei cheap sana. Mfano lenovo z6 pro ni flagship ambayo ingeweza hata kuuzwa $1000 lakini inauzwa around $340 aliexpress.
 
Point yako ni kwamba nimekosea au siyo?
 
Haya mambo ya china kuspy hayana ushahidi unlike US kuspy watu ambapo ushahidi uliwekwa mezani na hakuna mtu alikanusha.

Me mtu akiniambia china anaspy bila kuwa na proof naona ni porojo.

Hivi unajua ni makampuni mangapi yapo chini ya serikali ya china?
1. Kuweka backdoor kwa simu za china ni sheria na sio brand za china tu hata brand za Nje ya china wakitengeneza simu kwa ajili ya China wanatakiwa wakusanye data zirudi china.

HMD admits the Nokia 7 Plus was sending personal data to China

2. Kuna ushahidi mwingi tu wa China kuspy watu
-case ya vodafone kupata backdoors kwenye equipment za Huawei 2011 na 12
Bloomberg - Are you a robot?
-G data kampuni ya kijerumani kupata simu zaidi ya 20 za china stock app zipo infected zinatuma data kama call records na sms china
Your brand new phone could still have malware
-huawei mediapad m5 imekutwa inatuma data china hata uki un install app husika bado inatuma
Huawei Mediapad M5 found to be snooping on en... | Taiwan News

Mkuu kuamini China haspy watu kunahitaji moyo, wote Usa na China wanaspy kwa kiwango kikubwa, wanachofanya hapo ni mafahali wawili wanapigania kukomba data zetu.
 
Wait, HTC haipo???
Naipenda Samsung lakini nawakubali pia hao jamaa.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
hawezi tena,game ya simu inahitaji umakini sana,ukizubaa umeliwa kichwa.

angalia mfano shape za simu ni kampuni mbili tu ndio wanaobuni,wengine wanawaiga hao.

wakati tuko kwenye infinity displays samsung akaondoa home button kisha akapunguza bezzle,apple akaondoa home button kisha akaweka notch na kupunguza pia bezzles.
wakati sony hakuwa na home button,alikuwa na nafasi mapema zaidi kufanya walichofanya wenzie baadae,matokeo yake akazubaa,na hata walipokuja kumkumbusha akajifanya haoni.simu ina kioo kidogo halafu sababu ya msingi haipo.

simu iliyokuwa na sound quality viwango ni sony,ila wakataga mayai.badala wangeshikilia hapo kama wenzao samsung waliposhika kwenye vioo,mpaka kukosa mpinzani kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo uliposema..."simu ina kioo kidogo halafu sababu ya msingi haipo"

Usiseme sababu ya msingi haipo kisa wewe huioni.Jua kwamba sio wote wanaopenda simu za vioo vikubwa na ndio maana sony ndo kampuni pekee inayoproduce simu portable sana,inatujali wapenda simu ndogo za vioo chini ya 5'.
 
bro serious unataja sony mwaka huu[emoji16][emoji16].

si kweli kwamba simu ili iwe portable ni mpaka iwe na kioo kidogo,iphone x,xr,11 ni simu portable sana ila zina vioo vikubwa.ndio maana fasion ya sasa unaona infinity display na end to end nk.maana ya hao hapo juu kuondoa bezel ni ili kutoa nafasi ya kioo zaidi bila kuathiri umbo la simu.

unafikiri sony akitaka kutoa simu ya 6inch display,litakuwa tofali la size gani??
 
Mimi ni mpenzi wa simu ndogo mno.na ni kweli iphone anajitahidi ila bado lengo la vioo vidogo hana tena tangu alipomaliza kwenye iphone 7 nadhani na pia tatizo wengine hatuwezi tumia hizo simu hivyo basi mkombozi wa android ndogo ndogo anabaki xperia tu hadi kesho!

Mambo yakuangalia kampuni gani inatrend sijui ipi imefulia sio ya maana sana
 
Back
Top Bottom