Zifahamu kampuni bora za simu Duniani kwa 2020

Hapo kwenye Huawei eti waanzilishi wa 5G imeonyesha kua hujui chochote kuhusu teknolojia.

Umeandika umbea badala ya taarifa zenye uhakika.
Naomba kujua alioanzisha 5G ni nani eti? Maana na mm najua hivyo ni Huawei ww unamjua yupi?
 
Huawei sio mwanzilishi wa 5G, FIVE G ni matokeo ya muungano wa umoja wa 3GPP.

3GPP ni shirika linaloset standard za mobile telecommunication, hawa ndio wanaohusika na uvumbuzi wa mtandao wa 5G
Ndani ya hilo shirika kuna Nokia, Ericson, Qualcom, Samsung, Huawei,cisco systems na makampuni mengi tu.

Hata onyesho la kwanza la 5g lilfanywa na Nokia 2018, Kama Huawei mwanzilishi angekuwa ameshaishtaki.

Na kama ukizungumzia mchango mkubwa kwenye 5G basi ni kampuni ya Qualcomm.
Qualcomm walidesign 5G NR(5G New Radio) ,radio-frequency inayowezesha kufikia frequence ya 24GHz.

Huawei tofauti makampuni kama Nokia, Samsung na ericson, Vifaa vya huawei ni vya bei NAFUU, hivyo baadhi ya makampuni wakachagua huawei. Na nchi ya kwanza kutumia 5G ni Korea Kusini.
 
1: SAMSUNG • Ni kampuni ya vifaa umeme iliyopo Korea Kusini. Wana shika nafasi ya 1 kutokana na ubora wa simu zao kama; Galaxy S20, Galaxy S11, Note 10 n.k.

2: HUAWEI • Hii ni kampuni kutoka China waanzilishi wa teknolojia ya 5G. Wana matoleo MaTaTa ya simu kama; Huawei P30 Pro, Mate X, Mate 20 Pro n.k. Pato lao ni $ 121.71 kwa mwaka

3: APPLE iPHONE • Hii ni kampuni kutoka Marekani ambayo ina mfumo wake wa kipekee wa kuendesha simu zao iOS. Wana simu kama; iPhone 11 Pro, iPhone X, iPhone XR n.k. Pato lao ni $33.3 kwa robo ya mwaka.

4: XIAOMI (MI) • Hii ni kampuni nyingine kutoka China. MI inasimama badala ya Mobile Internet, wamewekeza kwenye simu, Tv, Viatu n.k. Wana simu kama; Xiaomi Mi9, Xiaomi 8 Pro, Mi Mix 3 n.k. Pato ni $ 494 kwa theluthi ya mwaka.

5: OPPO • Hii ni kampuni nyingine kutoka China ilianzishwa mwaka 2016. Ipo pamoja na Vivo, One plus na Realme. Wana simu kama; Oppo A31, F15, A5, A9 n.k.

6: VIVO • Hii ni kampuni nyingine kutoka China ilianzishwa mwaka 2011. 2015 ikaingia kwenye 10 bora kwa Mara ya kwanza. Wana simu kama; Vivo ZIX, V17 Pro, S1 Pro, V 51 n.k. Umesambaza zaidi ya simu million 103.

7: MOTOROLA • Ilianzishwa mwaka 1928 pale Marekani. Mwaka 2007- 2009 iliyumba kiuchumi, 2011 ikaja kivingine. Wana simu kama; RAZR, Mate X, Motorola 24 n.k.

8: LENOVO • Kampuni nyingine ya China inatengeneza simu, komputa na vifaa vingine vya umeme. Pia kwenye simu hawapo nyuma japo walinakili aidia ya iPhone. Wametengeneza kama; Lenovvo Z2 plus, P2, K6 power n.k.

9: LG • Kampuni nyingine ya pili kutoka Korea kusini, LG inasimama kama Life Good's. Wana simu kama LG W10 Alpha, K415 n.k

10: NOKIA • Kampuni ya Nokia inatufungia kumi bora yetu. Ni kampuni kutoka Finland wana simu kama Nokia 2.3, Nokia 110, Nokia 2.2 n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Motorola na lenovo division ya mobile phones sio kitu kimoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninavyojua.

Ubora wa simu hupimwa kwa namna soko lilivyoipokea, ndiyo maana Nokia jeneza mpaka leo ni simu bora ya wakati wote kwa mwitikio iliyoupata sokoni.

Sasa hapa naona mtu kasema bora ila hajafafanua SI unit iliyotumika kuhukumu.

Hivi unaweza kuweka Lenovo na Motorola ila HTC, Google, One + na Sony umewatupia mbali?

Aisee hapana. Hili shimo sidumbukii
Motorola ndo kampuni pekee ambayo haikustahili kuwepo.
 
1: SAMSUNG • Ni kampuni ya vifaa umeme iliyopo Korea Kusini. Wana shika nafasi ya 1 kutokana na ubora wa simu zao kama; Galaxy S20, Galaxy S11, Note 10 n.k.

2: HUAWEI • Hii ni kampuni kutoka China waanzilishi wa teknolojia ya 5G. Wana matoleo MaTaTa ya simu kama; Huawei P30 Pro, Mate X, Mate 20 Pro n.k. Pato lao ni $ 121.71 kwa mwaka

3: APPLE iPHONE • Hii ni kampuni kutoka Marekani ambayo ina mfumo wake wa kipekee wa kuendesha simu zao iOS. Wana simu kama; iPhone 11 Pro, iPhone X, iPhone XR n.k. Pato lao ni $33.3 kwa robo ya mwaka.

4: XIAOMI (MI) • Hii ni kampuni nyingine kutoka China. MI inasimama badala ya Mobile Internet, wamewekeza kwenye simu, Tv, Viatu n.k. Wana simu kama; Xiaomi Mi9, Xiaomi 8 Pro, Mi Mix 3 n.k. Pato ni $ 494 kwa theluthi ya mwaka.

5: OPPO • Hii ni kampuni nyingine kutoka China ilianzishwa mwaka 2016. Ipo pamoja na Vivo, One plus na Realme. Wana simu kama; Oppo A31, F15, A5, A9 n.k.

6: VIVO • Hii ni kampuni nyingine kutoka China ilianzishwa mwaka 2011. 2015 ikaingia kwenye 10 bora kwa Mara ya kwanza. Wana simu kama; Vivo ZIX, V17 Pro, S1 Pro, V 51 n.k. Umesambaza zaidi ya simu million 103.

7: MOTOROLA • Ilianzishwa mwaka 1928 pale Marekani. Mwaka 2007- 2009 iliyumba kiuchumi, 2011 ikaja kivingine. Wana simu kama; RAZR, Mate X, Motorola 24 n.k.

8: LENOVO • Kampuni nyingine ya China inatengeneza simu, komputa na vifaa vingine vya umeme. Pia kwenye simu hawapo nyuma japo walinakili aidia ya iPhone. Wametengeneza kama; Lenovvo Z2 plus, P2, K6 power n.k.

9: LG • Kampuni nyingine ya pili kutoka Korea kusini, LG inasimama kama Life Good's. Wana simu kama LG W10 Alpha, K415 n.k

10: NOKIA • Kampuni ya Nokia inatufungia kumi bora yetu. Ni kampuni kutoka Finland wana simu kama Nokia 2.3, Nokia 110, Nokia 2.2 n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
Simu ambayo haipo kwenye hio list ni ya kutupwa

kush na Wisdom
 
Huawei sio mwanzilishi wa 5G, FIVE G ni matokeo ya muungano wa umoja wa 3GPP.

3GPP ni shirika linaloset standard za mobile telecommunication, hawa ndio wanaohusika na uvumbuzi wa mtandao wa 5G
Ndani ya hilo shirika kuna Nokia, Ericson, Qualcom, Samsung, Huawei,cisco systems na makampuni mengi tu.

Hata onyesho la kwanza la 5g lilfanywa na Nokia 2018, Kama Huawei mwanzilishi angekuwa ameshaishtaki.

Na kama ukizungumzia mchango mkubwa kwenye 5G basi ni kampuni ya Qualcomm.
Qualcomm walidesign 5G NR(5G New Radio) ,radio-frequency inayowezesha kufikia frequence ya 24GHz.

Huawei tofauti makampuni kama Nokia, Samsung na ericson, Vifaa vya huawei ni vya bei NAFUU, hivyo baadhi ya makampuni wakachagua huawei. Na nchi ya kwanza kutumia 5G ni Korea Kusini.
Umeeleza vizuri sana.

sasa kinachomfnya USA kumpandishia kodi mchina kwenye simu ya Huawei mwaka jana ni nn kabla ya macho matatu kuwa released? inamaana anawivu naye au ni nn?
 
Vifaa vya Huawei vinatumika ku-spy nchi nyingi.

Huawei ipo chini ya serikali kwa asilimia kubwa.

Kuna baadhi ya server zinazotumika na makampuni ya US yametengenezwa na Huawei wameweka backdoor kwa ajili ya kuziingilia.

Isitoshe kuna tech Huawei waliiba kwa kampuni ya At&t ndo ikawa sababu ya serikali ya US kuwa wakali na Huawei.

Hata vifaa vilivyofungwa jengo la UN Addis Ababa wameweka backdoor kukusanya taarifa zote.

Ripoti nyingine utazidi kuzipata google, acha uvivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna siku nitakaa nikasahau simu za Motorola. Penda sana hizo vitu sema tu kwa vile sijui branch zao zilizokuwa Asia ziliendaga wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ukisema Motorola ni nzuri kumbuka Siemens nazo Wajerumani walikuwa wanakimbiza. Baadae wakaona dharau hizi kuonewa na vikampuni vidogo wakazipiga chini.
Motorola ndo wamekuwa wa kwanza kutoa flip smartphone na wametoa kwa muundo wa Razr sema bei yake zaidi ya 3M za kibongo. Na bado haina maajabu.
 
Back
Top Bottom