Zifahamu kampuni bora za simu Duniani kwa 2020

Mimi ni mpenzi wa simu ndogo mno.na ni kweli iphone anajitahidi ila sasa tatizo wengine hatuwezi tumia hizo simu hivyo basi mkombozi anabaki xperia tu hadi mwaka huu.

Mambo yakuangalia kampuni gani inatrend sijui ipi imefulia sio ya maana sana
angejitahidi awekeze research hata katka betry,simu kuwa ndogo halafu ikae vyema na charge ingekuwa poa zaidi.
 
Yah anatakiwa arekebishe hilo tu...japo si haba sana sio kichaji kila mara kama iphones.

Natumia Xperia XZ1 Compact ya betri la 2700mah ila kinavyokaa na chaji sipishani sana na mwenye simu ya betri la 4000mah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simu yetu pendwa haipo kwenye list. Watakuja wenzangu kutoa povu hapa, watakuwa wanasubiri keyboard yake ijifikirie kwanza ndio ifunguke na hatimaye wakomenti..
Hahahaaaa!!! Eti "wanasubiri keyboard yake ijifikirie kwanza ndio ifunguke na hatimaye wakomenti" mwisho wa kunukuu.
 
Ni kweli huawei ndio wagunduzi wa 5g. Na hii ni moja kati ya sababu wanavutana na marekani kila siku.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
5G ni muunganiko wa maelfu ya Gunduzi, hakuna Kampuni moja iliogundua. Kuna mamia ya kampuni yana patents za 5g.

Huawei na makampuni mengine ya kichina Yanauza tu vifaa vya 5g kwa bei rahisi.

Ingekuwa Huawei ndio kaigundua 5g si angepiga tu marufuku Usa na washirika wake wasitumie? Kama yeye alivyokatazwa?
 
1: SAMSUNG • Ni kampuni ya vifaa umeme iliyopo Korea Kusini. Wana shika nafasi ya 1 kutokana na ubora wa simu zao kama; Galaxy S20, Galaxy S11, Note 10 n.k.

2: HUAWEI • Hii ni kampuni kutoka China waanzilishi wa teknolojia ya 5G. Wana matoleo MaTaTa ya simu kama; Huawei P30 Pro, Mate X, Mate 20 Pro n.k. Pato lao ni $ 121.71 kwa mwaka

3: APPLE iPHONE • Hii ni kampuni kutoka Marekani ambayo ina mfumo wake wa kipekee wa kuendesha simu zao iOS. Wana simu kama; iPhone 11 Pro, iPhone X, iPhone XR n.k. Pato lao ni $33.3 kwa robo ya mwaka.

4: XIAOMI (MI) • Hii ni kampuni nyingine kutoka China. MI inasimama badala ya Mobile Internet, wamewekeza kwenye simu, Tv, Viatu n.k. Wana simu kama; Xiaomi Mi9, Xiaomi 8 Pro, Mi Mix 3 n.k. Pato ni $ 494 kwa theluthi ya mwaka.

5: OPPO • Hii ni kampuni nyingine kutoka China ilianzishwa mwaka 2016. Ipo pamoja na Vivo, One plus na Realme. Wana simu kama; Oppo A31, F15, A5, A9 n.k.

6: VIVO • Hii ni kampuni nyingine kutoka China ilianzishwa mwaka 2011. 2015 ikaingia kwenye 10 bora kwa Mara ya kwanza. Wana simu kama; Vivo ZIX, V17 Pro, S1 Pro, V 51 n.k. Umesambaza zaidi ya simu million 103.

7: MOTOROLA • Ilianzishwa mwaka 1928 pale Marekani. Mwaka 2007- 2009 iliyumba kiuchumi, 2011 ikaja kivingine. Wana simu kama; RAZR, Mate X, Motorola 24 n.k.

8: LENOVO • Kampuni nyingine ya China inatengeneza simu, komputa na vifaa vingine vya umeme. Pia kwenye simu hawapo nyuma japo walinakili aidia ya iPhone. Wametengeneza kama; Lenovvo Z2 plus, P2, K6 power n.k.

9: LG • Kampuni nyingine ya pili kutoka Korea kusini, LG inasimama kama Life Good's. Wana simu kama LG W10 Alpha, K415 n.k

10: NOKIA • Kampuni ya Nokia inatufungia kumi bora yetu. Ni kampuni kutoka Finland wana simu kama Nokia 2.3, Nokia 110, Nokia 2.2 n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
Galaxy Note 9 Siyo,,[emoji134]
 
Kana tecno haipo huo ji uingo
 
Ni kweli huawei ndio wagunduzi wa 5g. Na hii ni moja kati ya sababu wanavutana na marekani kila siku.

Sent fro

Huawei sio mgunduzi wa 5g.

5g ni matokeo ya makampuni zinazounda umoja wa 3gpp.

Humo kuna kampuni za simu, mawasiliano, kampuni za watengeneza chips(processor)

Na kama unazungumzia mchango mkubwa wa kufanikisha 5g basi credit zinaenda kwa kampuni ya Qualcomm.

Nokia walitengeneza 5g kwa mara ya kwanza mwaka 2018 kabla ya kampuni yoyote.

Jinsi kampuni zinavyobana patents siku hizi huawei si angeistopisha nokia kutumia tech yao.

Huawei alipata tenda nyingi za 5g sababu kuu vifaa vyao ni nafuu kuliko kampuni nyingine kama Nokia au samsung.
 
Back
Top Bottom