Zifahamu Bunduki aina mbalimbali

View attachment 2715335View attachment 2715334
M16A2 na AK-47 Type II ni shida zinafanya vyema sana front line haswa ukute kuna backup ya Glock pistol ni balaa tupu.
Hii M16 walishaitoa kwa American infantry, tangu Vietnam M16 ilitumika. Variants zake zinauzwa sana soko la kiraia na M16 ina rekodi kubwa kwenye mauaji ya kutumia silaha nchini Marekani
 
Hii M16 walishaitoa kwa American infantry, tangu Vietnam M16 ilitumika. Variants zake zinauzwa sana soko la kiraia na M16 ina rekodi kubwa kwenye mauaji ya kutumia silaha nchini Marekani
Israel zipo za kutosha
 
Ukitaka kuzijua sana wanajeshi wapo humu watatujuza
 
Hivi vyombo ni kwa ajili ya kutoa roho ya mwanadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…