Zifahamu aina tofauti za wanaume

Mkali_01

Senior Member
May 13, 2015
166
116
Kuna aina mbili za wanaume. Moja ni wale wanaojiita wa Daslam na wengine ni wale wa mikoani. Ebu tuangalie huu mfano halisi.

Mwanaume wa Arusha kakaa mahabusu miezi minne anatoka huku anacheka, mwanaume wa Dar kaambiwa aonyeshe vyeti tu analia.

[Wanaume wa Dar Bwana].
 
Wewe ni mwanamke wa wapi?
 
Sasa hizo ni aina au namna walivyojiweka.
Niliposikia aina nilidhani labda kwenye hizo aina kuna wanaume wenye miguu mitatu na minne au wenye pembe au wenye vichwa na wasio kumbe
 
Hahahahaaa!...binadamu siku hizi tangu ajira zianze kusua sua basi mmekuwa wabunifu sana. Kila tukio mnabuni njia kumi za kuelezea tukio husika
 
Sasa hizo ni aina au namna walivyojiweka.
Niliposikia aina nilidhani labda kwenye hizo aina kuna wanaume wenye miguu mitatu na minne au wenye pembe au wenye vichwa na wasio kumbe
Kilichkua kinahitajika ni wewe kuelewa tu na nafkiri ushaelewa. Hayo mengine kaa nayo
 
Basi siku nyingine ujifunze kuwa si kazi ya mwanaume kuwasema wanaume wenzie...

Umbea kaumbiwa mwanamke...
Shilawadu wapo kwani wale ni wanawake. Fikiri kabla ya kusumbua vidole vyako ku type.
 
Acha kutudhalilisha bhana, kila siku wanaume wa dar mara wa mkoani, kwani wa dar hawana ma mbu.pu, wa mkoani ndio wanayo?
Acheni hizo itikadi zisizo na maana, wanaume ni wanaume tu wawe wa mkoani au wa popote pale na wanawake vile vile, kasoro nyingine tunajitia wenyewe watanzania. Je wageni wafanye nn sasa.
 
Kuna aina mbili za wanaume. Moja ni wale wanaojiita wa Daslam na wengine ni wale wa mikoani. Ebu tuangalie huu mfano halisi.

Mwanaume wa Arusha kakaa mahabusu miezi minne anatoka huku anacheka, mwanaume wa Dar kaambiwa aonyeshe vyeti tu analia.

[Wanaume wa Dar Bwana].
Kwani huyu kwao Dar? Sema na aliko tokea basi
 
Back
Top Bottom