Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,871
- 6,469
Sawa mkuu, ni kweliAcha visanga sasa wewe nae.
Kwani kusema mwanamke kwa mumewe atabaki kuwa mwanamke chuki na uadui viko wapi hapo.
Hata madame akirudi chumbani kwake kwa mumewe ni mke.sijui umeelewa.
Next time mfano wa bibi yako uutumie vizuri.
Mfano dhahiri wa adui wa mwanamke ni mwanamke huu hapaπ
Kama mimi mwanamke najua kabisa mwanaume huyu ameoa...ana mke na watoto nyumbani lakini nitafanya kila aina ya figisu basi atoke yeye niingie mimi hata kama ninaufahamu ukweli.
Na sio wanawake wote ni maadui kwa wanawake wenzao hilo pia usilisahau
Nampenda mume asiyetabirika.asinifanye nikamzoea kupitiliza nikahisi kama niko na shosti angu.Sio wanawake wote wona jua hili sasa
Nitakukumbuka mkuu..lakini na ninyi mfunge hizo zip sasa maana mnaziacha wazi mpka waganga wanaingiaUnikumbuke kwenye sala zakoπ€π€
Kuna dem alienda kwa mganga kumkoleza mme wa mtu, huko akaambiwa mke wake kamfunga ila usijali tutamtengeneza
Huku mke kafunga, mchepuko anafungua halafu nae afunge kivyake,
wanaume wanapitia mengi sana, ndio maana hata hutangulia kufa walah!!!!
ππππNi kama kugeuza dish la azam
Haki wanaume wanakufa na mengi mno..Mungu azidi kusimama nao.kutunza familia,maisha bado ni magumu,bado hajalogwa mke/mchepukoBwana wa majeshi awatetee hakuna namna
Mie limbwata langu Mahaba tuu...
Mtu fudenge analegezewa macho...
Sauti inalegezwa na kutoka kwa vituo...
Huku anadekezwa kwa Mahaba Matata.....
Aahahahahhahaaaa akijastuka amaliza wiki nzima kwangu.
Kβ Platinum.
Yani ndo mana mnaongeaga pekee yenu huko kwenye magari yenu kumbe ni mlogo umeshika hatamuBwana wamajeshi awalinde aise japo tuwaachie akili timamu
Kuna dem alienda kwa mganga kumkoleza mme wa mtu, huko akaambiwa mke wake kamfunga ila usijali tutamtengeneza
Huku mke kafunga, mchepuko anafungua halafu nae afunge kivyake,
wanaume wanapitia mengi sana, ndio maana hata hutangulia kufa walah!!!!
Sasa mama lipsoo na nyie mlivyoumbika hivyo na mnavyovaa mnategemea tutafunga zipu kweli?Nitakukumbuka mkuu..lakini na ninyi mfunge hizo zip sasa maana mnaziacha wazi mpka waganga wanaingia
Ndo mjitahidi sasa vinginevyo mtakufa mapema πSasa mama lipsoo na nyie mlivyoumbika hivyo na mnavyovaa mnategemea tutafunga zipu kweli?
Unaweza kuwa kichaa mchana kweupe.Unapokuwa na michepuko mingi ,unakuwa kwenye risk kubwa ya kupewa angalau aina kadhaa za limbwata.
Basi na iwe hivyo tu.ππNdo mjitahidi sasa vinginevyo mtakufa mapema π