Ziara ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu, Ulaya na Marekani

Hakuna tija ya mtu mwenye akili timamu kuwasimulia ubaya wa nchi yako kwa watu wa nje ambao kwa namna yoyote ile hawana mchango wowote kwa nchi yako. Hiki ni kiwango cha juu kabisa cha mtu kutokuwa na uzalendo wa nchi yako. Sasa Tundu Lisu anawasimulia hao mambo mabaya ya TZ ili iweje? Anataka nini? Watamsaidia nini?Ni ushamba mtupu.
Nashanga kwa nini Bungu halijachukua hatua ya kumfukuza ubunge kwa mujibu wa sheria/kanuni za bunge. Hoja ya ugongwa haipo tena. Kitanda cha mgonjwa amekiacha ubeligiji. Yeye yuko Ujerumani,USA nk. Huyo siyo mgonjwa tena. Afukuzwe ubunge! Mimi ni mwanasheria kama yeye, lakini ktk hili ameidhalilisha noble profession ya sheria. Anachofanya ni kuuza,kubomoa heshima ya nchi kwa masilahi mafupi yake binfsi. Shame on him!
Kumpiga risasi kwa kueleza mawazo yake ndiyo kuendelea,na vyojua mimi ni mshamba na anaedhalilisha noble profession yake ni yule anayeona sheria mbovu ziki pita na sheria zikivunjwa na kuitetea ivunjwe,na siyo yule anayepaza sauti anapoona sheria haifuatwi na yeye anatetea ifuatwe,halafu unasema Lisu ni mshamba?hilo siwezi kukujibu ila jitazame kwenye kioo ukiwa umevaa suti inayouzwa kariakoo.
 
Mgekuwa mna uwezo wa kupambana kwa hoja:
1:msingeminya Uhuru wa vyombo vya habari na wanahabari.
2.Msingekuja na sheria ovu ya takwimu.
3.Msingepiga marufuku kazi halali kikatiba kwa vyama vya siasa kufanya shughuli zao kulingana na katiba.
4. Msingeliwateka,kuwachunguza uraia hata kuwauwa wanaoikosoa serikali yao.
5. Msingelikuwa mnawatisha watanzania wenye mawazo mbadala kwa serikali.
6. Msingeliiba kura, mngewashawishi watu kwa hoja wawape kura halali.
7. Msingelitumia mabavu na mkono wa chuma kuwanyamazisha watanzania.
8. Msingelikuwa na hofu na kazi za wapinzani,kupitisha mswaada wa kuviua vyama vya upinzani.
Nauliza: hizo hoja huwa mnazitolea wapi, mbona hamtaki kuulizwa wala kukosolewa kama n kweli mnapenda kujibizana kwa hoja. maccm Hanna hoja ila mna uwoga na viroja.
 
Nikiangalia kinachoendelea ile nchi yenye akiba kubwa ya mafuta duniani (Venezuela) Jinsi Juan Guaido anavyo ungwa mkono na USA kiasi Marekani anafikia kutaka kuipora kila mali inayomilikiwa na Serikali ya Venezuela nje ya taifa lake iwanyang'anye serikali alafu imilikishe Juan Guaido ziwe chini yake..! nawaogopa sana wanasiasa wanaungwa mkono na mataifa ya Magharibi!
 
Hakuna tija ya mtu mwenye akili timamu kuwasimulia ubaya wa nchi yako kwa watu wa nje ambao kwa namna yoyote ile hawana mchango wowote kwa nchi yako. Hiki ni kiwango cha juu kabisa cha mtu kutokuwa na uzalendo wa nchi yako. Sasa Tundu Lisu anawasimulia hao mambo mabaya ya TZ ili iweje? Anataka nini? Watamsaidia nini?Ni ushamba mtupu.
Nashanga kwa nini Bungu halijachukua hatua ya kumfukuza ubunge kwa mujibu wa sheria/kanuni za bunge. Hoja ya ugongwa haipo tena. Kitanda cha mgonjwa amekiacha ubeligiji. Yeye yuko Ujerumani,USA nk. Huyo siyo mgonjwa tena. Afukuzwe ubunge! Mimi ni mwanasheria kama yeye, lakini ktk hili ameidhalilisha noble profession ya sheria. Anachofanya ni kuuza,kubomoa heshima ya nchi kwa masilahi mafupi yake binfsi. Shame on him!
Wewe ndiyo mashamba na inaonekana huna exposure yoyote zaidi ya kuwa kada
 
Nikiangalia kinachoendelea ile nchi yenye akiba kubwa ya mafuta duniani (Venezuela) Jinsi Juan Guaido anavyo ungwa mkono na USA kiasi Marekani anafikia kutaka kuipora kila mali inayomilikiwa na Serikali ya Venezuela nje ya taifa lake iwanyang'anye serikali alafu imilikishe Juan Guaido ziwe chini yake..! nawaogopa sana wanasiasa wanaungwa mkono na mataifa ya Magharibi!
Mm nawaogopa saana wanasiasa wanaowapiga risasi wakosoaji!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna tija ya mtu mwenye akili timamu kuwasimulia ubaya wa nchi yako kwa watu wa nje ambao kwa namna yoyote ile hawana mchango wowote kwa nchi yako. Hiki ni kiwango cha juu kabisa cha mtu kutokuwa na uzalendo wa nchi yako. Sasa Tundu Lisu anawasimulia hao mambo mabaya ya TZ ili iweje? Anataka nini? Watamsaidia nini?Ni ushamba mtupu.
Nashanga kwa nini Bungu halijachukua hatua ya kumfukuza ubunge kwa mujibu wa sheria/kanuni za bunge. Hoja ya ugongwa haipo tena. Kitanda cha mgonjwa amekiacha ubeligiji. Yeye yuko Ujerumani,USA nk. Huyo siyo mgonjwa tena. Afukuzwe ubunge! Mimi ni mwanasheria kama yeye, lakini ktk hili ameidhalilisha noble profession ya sheria. Anachofanya ni kuuza,kubomoa heshima ya nchi kwa masilahi mafupi yake binfsi. Shame on him!
Na waalio taka kumuua wao ni wajanja? Acha ujinga wewe

wewe endelea kuona ushamba ila sisi tunaona ni poaaaa sana tu
 
Hii haina tofauti na yule anaekaa mitaani kusimulia mambo ya ndani ya ndoa yake akitafuta sympathy...
 
Tatizo watanzania wachache ndo wanamwelewa Lissu anachofanya na kukisapoti, wanaona ndo njia sahihi ya kujipromoti kisiasa bila kutiwa ndani na polisi, kwa upande wa Lissu ni safe way ya kutangaza bila bugudha, tatizo audience yake ndo sio wapiga kura wanaofaidika au wanaoathirika na utawala wa magufuli, 80% ya watakaopiga kura kumpitisha magufuli mwaka 2020 sio watakaomwangalia na kugonga Like kwenye channel za youtube bali ni wale watakaosimuliwa mazuri aliyofanya Magufuli na watamwelewa haswa maana wanaona progress kwa macho yao.

Lissu anatumia muda wake vizuri kujitangaza, ni km walivyofanya wenzake waliopita, tatizo linakuja pale upande wa kura hana cha kumshawishi raia wa kawaida kuwa ataleta maendeleo kwa raia wa kawaida, azungumzie ushoga nobody cares, azungumzie kupigwa risasi nobody cares, mwenzie atazungumzia mafisadi, barabara, maji, madawa, elimu ataomba kura atapenya.

But its good to be in opposition, yupo kwenye safe platform anaongea bila bugudha, watakaomsikia watamsikia, 🤔

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom