Ziara ya Mama Clinton Nchini Malawi: Picha zinasemaje?

Jamani hilo neno Tanzania kwenye nguo ya huyo mama mbona sioni?Naona neno Mwanza tu ambalo ni moja ya mji katika nchi ya Malawi.
 
Jamani hilo neno Tanzania kwenye nguo ya huyo mama mbona sioni?Naona neno Mwanza tu ambalo ni moja ya mji katika nchi ya Malawi.
ni katika hiyo waliyokumbatiana,chini ya neno "mwanza",herufi zinazooneka kwa uhakika zaidi ni "NIA"
 
huyu bi nyankomba anatumika tu kama ndomu.. wananchi wa hizi nchi 2 wanaishia kua excited tu na 'false patriotism' ilhali orgasm wanapata wazungu kwa kuvuna mafuta kwa bei ya jioni..kama tusipoangalia watatuuzia na silaha na tutarudia kuishi kwene zama za mawe.
 
Nyasa Times August 6, 2012

U.S. Secretary of State Hillary Rodham Clinton on Sunday visited Malawi to meet with the country’s first woman President Mrs Joyce Banda.

Clinton – the first U.S. secretary of state to visit Malawi -pledged continued U.S. support for development and health projects in the impoverished southern African country.

This a pictorial focus of the meeting between two women of substance- Clinton and Joyce Banda. Photos taken by Lissa Vintulaof Malawi News Agency.

feel-free-you-are-welcome-to-malawi-president-Joyce-Banda-and-Hillary-Clinton-at-state-house-600x398.jpg

U.S. Secretary of State Hillary Rodham Clinton, left, meets with Malawi's President Joyce Banda at the State House in Lilongwe. This is the first visit to Malawi by any U.S. Secretary of State

clinton-hug-president-Joyce-Banda-on-arrival-at-state-house-600x398.jpg

VIP hug: Clinton and Joyce Banda

large-600x374.jpg

This is a Reuters picture capturing Clinton smiling 18 inches at State House

they-posed-for-a-photo-before-their-private-talks-at-state-house-600x398.jpg
it-was-all-smiles-hillary-clinton-with-president-Banda-600x398.jpg
clinton-being-welcomed-at-State-House-600x398.jpg
banda-and-clinton-before-holding-thier-bilateral-talks-600x398.jpg
viti vya "gold" kama vile vya Gaddafi,lakini kanchi kadogo na pia masikini,it doesn't reflect the real people down there...Mama atasingizia alivikuta ikulu!lol!sijawahi kufurahishwa na "vitu vizuri" vya viongozi wa nchi masikini kama yetu,never!hata kama vikiwa ni vya gharama kuliko vya Bill Gates ama Warren Buffet.
 
mmmh, kazi kweli kweli.

Ila huyu mama asitishwe na hili tabasamu, unaweza kuta ni 'plastic smile'
 
kwa wanaoifahamu malawi naomba kuwaulezeni je huo mji wa mwanza upo karibu na ziwa nyasa, nauliza hivyo ili niweze kuunganisa dots kati ya hayo maneno "Tanzania na Mwanza" yaliyopo ktk vazi la huyo mama. . .
 
huyu mama gesi hajaanza kuchimba anakalia viti vya dhahabu akianza kuchimba si atavaa mavazi ya dhahabu.!
 
Pengine Joyce Banda ni Mama na Rais mwenye mapenzi na Tanzania, ukichunguza maneno yaliyoko kwenye nguo yake maridadi aliyovaa (angalia picha ya mkumbatio), kwenye mkono pameandikwa Mwanza, halafu chini yake kidogo neno ambalo nadhani ni Tanzania linaonekana kwa sehemu tu. Au ni style ya kuiambia jumuiya ya kimataifa kupitia kwa kiongozi wa Taifa kubwa, kwamba hana problem na jirani. Ama kweli picha maneno elfu!

Ana maanisha mwanza ni sehem ya malawi muda wowote akitaka anaichukua.
 
Kweli kuna maneno mwanza na tanzania kwenye vazi la huyu mama, hili halina ubishi. twende mbele tuangalie na vazi la huyo ads/tuseme ni mlinzi wake ni camouflage combat cloth kwenye shughuli ambayo ni ceremonial by nature. sasa tujiulize tunapata ujumbe gani tukiunganisha vazi la mama na la huyo mwanajeshi mlinzi wake? na kwa kuongezea rangi ya vazi lenyewe la huyu rais ni muhimu sana tusiipuuze kabisa.

ujumbe ni kwamba "watch out Tanzania we can wear you like kitenge"
 
Tutaelewa tu, japo walimu wengine kufundisha kwenu kwa kejeli. Kwa wenye mtazamo chanya, tunaona kwamba kinachojadiliwa ni fursa ya kulifahamu vizuri taifa hili la majirani zetu. Sidhani hata wewe 'mwalimu mkali' unafahamu kila kitu kuhusu Malawi.

Mkulu nimekupenda.... umeonesha ukomavu wa hali ya juu....nilitegemea tusi kwa tusi....teh..teh..
 
viti vya "gold" kama vile vya Gaddafi,lakini kanchi kadogo na pia masikini,it doesn't reflect the real people down there...Mama atasingizia alivikuta ikulu!lol!sijawahi kufurahishwa na "vitu vizuri" vya viongozi wa nchi masikini kama yetu,never!hata kama vikiwa ni vya gharama kuliko vya Bill Gates ama Warren Buffet.

Malawi siyo maskini kama Tanzania...umasikini wetu tusihamishie nyumba ya jirani...shame on us.

Pamoja na mambo mengine.. vita ni Fedha...Economy yetu ipo kwenye bad shape...leave alone mshikamano kama taifa haupo....

Shangilieni vita kama mlivyoshangilia kikombe cha babu wa semunge....wenzenu kwenye vita hiyo hiyo watatumia kipengele cha Manunuzi ya Dharura(Emergency Procurement)...

HUJAWAHI KUONA WATU WANATENGENEZA FEDHA MSIBANI....?????????
 
Wanajeshi wao kumbe ni wanywa chibuku tu, hebu waangalie. Halafu wana radio.... outdated.
Mkuu Kobello halafu angalia ufupi na maumbile madogo!! hivi hawana standards kwenye ajira!! kama TZ!! kweli wasituchokoze
 
Nyie si mnajisifu mna gesi ya kumwaga na hamtafanya makosa ya kuingia mikataba fake kama madini, wamerikani sasa wanachonganisha ili muingie vitani wawakung'utishe hela zenu za gesi kwa njia ya kuwauzia silaha zilizopitwa na wakati


Mkulu

Umenikumbusha kitu....enzi zile tukiwa watoto...anasimama mbabe katikati ya wagomvi wawili..... anamwambia wa kwamza PUTA...TIA KIDOLE HAPA...anarudi kwa mwingine... anamweleza wewe INGIZA MKONO kabisa hapa...

Wakati huo...wengine wanashangilia kweli ...ahhhhh....usikubali kakutukania mama yako...aahhhh.... usikubali

Then, yule mbabe anakaa pembeni....anasubiria ngumi zianze...sasa OLE WENU MJIFANYE KUPATANA....lazima awadunde wote wawili....

So, kipindi kile, the immediate option was.... ni kwa ninyi wawili KUPIGANA....that seems to be the same here
 
Hakuna neno Tanzania kwenye hiyo nguo. Neno linalosomeka clearly ni Mwanza ambayo ni districk huko Malawi. Kwa mbele kuna Blantyre na miji mingine.
Huyo mama haipendi Tanzania na anafuata mlengo wa Banda wa kwanza wa kukumbatia makaburu.
 
Hakuna neno Tanzania kwenye hiyo nguo. Neno linalosomeka clearly ni Mwanza ambayo ni districk huko Malawi. Kwa mbele kuna Blantyre na miji mingine.
Huyo mama haipendi Tanzania na anafuata mlengo wa Banda wa kwanza wa kukumbatia makaburu.

Kuna neno tanzania, jaribu kuingia kama unatumia computer ukunjue huo mkono wa hilo gauni neno tz litasomeka vizuri, ningekusaidia kufanya hivyo tatizo natumia kasimu ka mchina ni kadogo siwezi kupenya.
 
Back
Top Bottom