Ziara wizarani: Jk anamuogopa prof. Mark mwandosya?

Jaribuni kumu-observe kwa makini Prof Mwandosya, so far hajajiingiza katika tafrani yoyote ya kumpa umaarufu kwa cheap politics, na JK anajua hilo


Lakini Prof ni mgombea mtarajiwa na tishio 2015..Angemsiliba zaidi ya wengine ili kumsafishia njia mshkaji wake!
 
Lakini Prof ni mgombea mtarajiwa na tishio 2015..Angemsiliba zaidi ya wengine ili kumsafishia njia mshkaji wake!

Ndugu Stone-fist, mbona mwamchukulia JK kuwa pakacha lisilo na morals?
Kati ya vitu ambavyo hata wasiompenda JK ni kuheshimu kule kutotabirika kwake na kuheshimu kwake upepo wa kisiasa.
Wako wapi wale ndugu zake wa damudamu katika kundi la mtandao?
Hata yeye anajua mtu muadilifu na asiye na mawaa.
 
Perfect performance! Kuna mahali kwengine unaweza tafuta sana sababu na usizipate hivyo suala sio kumwogopa bali ni UTENDAJI wenye TIJA
 
Ziara zake sijui tathmini zake lakini ktu kikubwa kinachonikera ni huu umwinyi wetu wa bongo si ajabu yeye wala hakuhitaji hivyo lakini jamani watu hatuangalii manpower hours zinazopotea?...gharama ya mapambo kwa vile rais anakuja jamani mpaka red carpet?.....i bet walikodisha hilo carpet na wamelipa mapesa mengi tu....

Vitu kama hivi ni lazima kuangalia cost zake na manufaa yake.
GO9G2206.JPG GO9G2394.JPG
Hebu tufananishe na nchi zilzoendelea hakuna msafara wa wingi wala red carpet
4724745420_230e913ecb_s.jpg 4724113467_8be674f4b6.jpg

Tuanalia kuwa hali ya uchumi ni mbaya kwa hiyo watu wanpoambiwa fungeni mkanda inakuwaje nyie viongozi hamufanyi kwa vitendo...JK kataza haya makusanyiko ya wafanyakazi unapotembelea wizara.

Sijaelewa hizi ziara za wizarani ni sherehe au ni kazi?




































 

Attachments

  • spaceball.gif
    spaceball.gif
    43 bytes · Views: 110
kuna tofauti kubwa sana kati ya hawa watu wawili....mmoja ni prof...na huyu mwingine ni jamaa tu aliyetoroka monduli kipindi kile sababu ya umbea na fitna......so kuna gap kubwa sana kati yao

Mkuu agiza kinywaji, bili kwangu.
 
Kama ulikuwa unafutilia ziara za JK kupitia TBC, kila siku. Katika mfululizo wa ziara zake wizarani, JK amekuwa akioneshwa akiwakoromea mawaziri na kuwakatisha katisha wanapotoa taarifa kwake mfano. Magufuli (Ujenzi) MW. Hawa Ghasia (management) na MW. Nungu ( miundombinu). Alikua anaongea kwa msistizo, lakini leo (tbc habari) alipokuwa wizara ya maji kwa Prof. Mwandosya. JK hajaonyesha makali hata kidogo wala kumkatisha katisha Prof wakati anaonge. JE JK ANAMUOGOPA PROF?

Dr. wa heshima amkoromee Prof. wa academic!!! Ninyi vipi bwana!!! Pamoja na uvivu wake lakini ****** sometime huwa anafikiri jamani!
 
Kama Dr. Slaa angelikuwa ni WAZIRI, basi nafikiri hata hapo Wizarani asingelitembelea kabisa......

Angeliomba tu ripoti awe anasoma wakati yuko safarini...... ANGELISOMA???
 
Wote ni wasanii tu..i wonder kwanini watu wanampa free pass Mwandosya. Kwa lipi hasa?
 
Kama ulikuwa unafutilia ziara za JK kupitia TBC, kila siku. Katika mfululizo wa ziara zake wizarani, JK amekuwa akioneshwa akiwakoromea mawaziri na kuwakatisha katisha wanapotoa taarifa kwake mfano. Magufuli (Ujenzi) MW. Hawa Ghasia (management) na MW. Nungu ( miundombinu). Alikua anaongea kwa msistizo, lakini leo (tbc habari) alipokuwa wizara ya maji kwa Prof. Mwandosya. JK hajaonyesha makali hata kidogo wala kumkatisha katisha Prof wakati anaonge. JE JK ANAMUOGOPA PROF?

Hao ni mawaziri wake mwenyewe aliowateua kwa kuwaamini kwamba ni wachapa kazi. sasa kitendo cha kuwakemea hadharani tena mbele ya vyombo vya habari, mmmhh... hapo iko ishu. one explanation ni kwamba anajaribu kufanya ka publicity stunt kuonekana anachapa kazi, kwamba anawawajibisha hao mawaziri. ni kama anajitetea mbele ya wananchi hasa baada ya mkong'oto aliopata kutoka kwa CHADEMA, na response ambayo watu wameonesha, kumtumia msg kwamba hawaridhiki na mambo yanavyokwenda. hata ile ishu ya magufuli, ni kitu hicho hicho.

Haiingii akilini kwamba hiyo ndiyo staili ya kufanya kazi ya serikali makini. hizo proposal za wizara ya miundo mbinu zilitakiwa ziwe zimejadiliwa kwa standard channels za kiserikali na kuidhinishwa. sasa inakuwaje hiyo senema waziri anasoma na presida anamshushua tena live? same goes with hizo wizara zingine na hiyo ishu ya magufuli. haya yote ni for public consumption, hakuna lolote zaidi. the man is really desperate.

kuhusu Mwandosya, asingeweza kumchezea hayo madogori, kwanza kwa historia yao ya nyuma, na pia Mwandosya ni heavyweight kwa hiyo angejikuta anaanzisha vagi ambalo asingejua jinsi ya kulituliza. lakini pia si anajua CHADEMA wanazindua shughuli huko mbeya hivi karibuni, na hapo watu wa Mbeya wangemshukia kisawasawa na kwa hasira.
 
Mwandosya ako na personality hata anapoongea yuko makini na anachokiongea wala suala la kuogopana halipo hapo kwani mshikaji hii ni term yake ya mwisho sasa aogope nini ccm wakichemka huko mbele ya safari watajiju,yeye atakua anakula mafao
 
Hii ni episode moja tu niliyowahi kuipata as to why JK ni sisimizi kwa Mwandosya.
Hapo zamami za kale waliwahi fanya kazi wizara moja, JK akiwa waziri Mwandosya katibu mkuu. Basi kama umjuavyo ****** mbabaishaji akaibabaisha wizara kufikia point ya Mwandosya kuondoka kwa hiari akaapa hawezi fanya kazi na mpumbavu. Na katika kiapo hicho alisema siku JK akichukua fomu ya uraisi lazima na yy achukue kumuonesha kumpinga hadharani, na ndicho alichikifanya 2005. Na Mwandosya aliwahi kuwa kwenye blacklist ya JK so ikatakikana Prof awe terminated. Mkulu si akaenda huko anakokujua ilikuwa nchi ya jangwa ikachinjwa ngamia kwa madai kwamba the moment inakatika huyu naye huku anakatika. Prof aliishia kuugua sana na kuyumba tu kwa sababu Mungu si Athuman akapona. Waliporudi huku wanasubiri kuhudhuria kuag wanaona mtu yupo tu, yupo tu hadi leo na akajua kuwa prof anajua alichofanya ndo maana hadi leo hii akimuona anamuogopa sababu ya kila alichomfanyia.
Wenye kubisha mbishe, wenye kutetea mumtetee, lakini mwenye nia ya kujua ataenda kutafuta historia ya hawa wawili!!
 
kwasababu akienda kula wakati PROF Mwandosya anatoa speech yake hataweza kua anamkatisha katisha kama Waziri Ghasia, pili kuna uwezekano mkubwa report atayopata huko itakua imejaa substance, na kama kuna uzembe sehemu kubwa utakua unatokea kwake mkulu.
 
Kama ulikuwa unafutilia ziara za JK kupitia TBC, kila siku. Katika mfululizo wa ziara zake wizarani, JK amekuwa akioneshwa akiwakoromea mawaziri na kuwakatisha katisha wanapotoa taarifa kwake mfano. Magufuli (Ujenzi) MW. Hawa Ghasia (management) na MW. Nungu ( miundombinu). Alikua anaongea kwa msistizo, lakini leo (tbc habari) alipokuwa wizara ya maji kwa Prof. Mwandosya. JK hajaonyesha makali hata kidogo wala kumkatisha katisha Prof wakati anaonge. JE JK ANAMUOGOPA PROF?
Tafuta habari critical. Yaani akorome tu bila sababu. Yaani wewe unahitaji kuambiwa mambo anayofanya Prof.Mark kwenye hii Wizara?
 
The guy has brain! na ukiangalia wakati wanagombea urais wanamtandao walimtafutia jungu wakakosa ikabidi wampakazie la mwanae sekela kusomeshwa na walionunua TTCL at that time so ukimuangalia maisha yake the guy was supposed to be a president! he is smart and intelligent, so hawezi kumkatisha sababu kumkatisha mtu ni utovu wa nidhamu na kumkosea mtu heshima, anatakiwa apick points then aje atoe tamko lake cause he is the last man in decision making hierarchy. yeye president kwani hapati report za matatizo na mafanikio ya wizara? obvious anapata sasa ni nini tena anafanya? publicity?! tunahitaji watu makini na watendaji sio usanii na kutafuta cheap publicity!
 
Back
Top Bottom