Ziara wizarani: Jk anamuogopa prof. Mark mwandosya?

Ziara wizarani: Jk anamuogopa prof. Mark mwandosya?

Tafuta habari critical. Yaani akorome tu bila sababu. Yaani wewe unahitaji kuambiwa mambo anayofanya Prof.Mark kwenye hii Wizara?

Tufikiri mwisho wako wa kufikiri!?
 
Jamani Busara ya Mwandosya iko juu sana huwezi kumlinganisha na kile kijamaa!! Sasa unategemea atamkoromea kwa lipi? Kusema ukweli mimi namkubali sana Mwandosya kwa utendaji wake.
 
Back
Top Bottom