Ziara Kihongosi inathibitisha kuwa CCM imekataliwa. Ni kama mtendaji wa kata anazunguka kusikikiza kero za wananchi

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,170
Reaction score
8,622
Fuatilia kila anapopita na kusikiliza kero za watu. J

Hakuna muitikio au msisimko kama kuna kiongozi mkuu wa chama tawala yupo kusililiza kero na kujua mapunngufu ya chama chake.

CCM haikubaliki kwa sasa hii ndio picha kamili.

Mwenezi wa CCM nae hakubaliki.
 
Mojawapo ya teuzi za hovyo labisa samia amefanya ni ya huyu kibaka Kihongosi
 
Back
Top Bottom