KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,569
- 21,075
Hili neno limeenea Kila mahali sijui Lina maana Gani?
Ni magendo au diliHili neno limeenea Kila mahali sijui Lina maana Gani?
Sio code ya chama cha majambazi kweli hiiHili neno limeenea Kila mahali sijui Lina maana Gani?
Naisikia sana Kwa maselaSio code ya chama cha majambazi kweli hii
Ulawiti nao ni zesheni?Mambo ya ajabu ajabu/ya hovyo
Watu wanaolawitiana/kulawiti/kulawitiwa hao wanaleta zesheniUlawiti nao ni zesheni?
OkWatu wanaolawitiana/kulawiti/kulawitiwa hao wanaleta zesheni