Zero IQ mtayarishaji wa JF-HardTalk umepotea nini tatizo?

Ndugu Zero IQ mratibu, muandaaji na mtayarishaji wa JF Hardtalk umepotea ni muda sasa nini tatizo?!

Uhitaji wa hardtalk ungali upo kwa sababu ilianza kusaidia kuwatambua wana-JF uwezo, mitazamo na maono yao kwa uwazi mkubwa.

Ndugu Zero IQ kama ulisitisha muendelezo wa hardtalk tafadhari anza upya na hivi sasa. Wanachama wa JF wangelipenda kuona mijadara mizito na yenye ufikirishi wa fikra kwa wenzao.

Endhapo ukiridhia itabidi uchague watayarishaji, waendeshaji na waratibu wasaidizi kusaidia kufanikisha hili endapo mmoja wao hakutokea.

cc. Zero IQ
Hivi ikitokea mtu kaenda kwa sir God wanajamvi wanajuaje humu mkuu na haya mafake ID.
Ni swali tu mkuu japo liko nje ya mada
 
Back
Top Bottom