Zero distance inaswihi ?

Zero distance inaswihi ?

Huyu ni Shehena, anapenda kusifiwa na watu hatakama analolifanya ni haramu kwa dini yake.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk

Huyu shehe ni mzigo kwa waislam, yupo kwa ajili ya kwenda ikulu kumuombea jk dua, kesho pia utamuona kwa wazee wa dar
 
Huyu shehe ni wa ukweli sijapata kuona.
Huwezi kuta mahubiri yake yanahusu kuvaa mabomu kama wengine.
Shehe huyu anathamini utu wa watu wa imani nyingine kuliko nafsi yake.
Huyu shehe nikukutaga mahubiri yake, nayasikiliza mpaka mwisho.
Nahisi moja ya wazazi wake wamesoma misheni au yeye alisomea shule za seminari.
Sura yake tu inaonyesha utu, huruma na roho ya kutolipiza visasi au kujitoa mhanga.
Mashehe wengine utakuta sura zimejaa jazba na roho za kulalamika.
Huyu shehe ana thredi thredi nyingi za kumwelezea jinsi alivyotofauti na wengine.

a word

kakajambazi
 
Hapo kwenye red, dini inakuamrisha umdhanie mtu?
Sema jambo kwa ushahidi

Huyo shehe hapo ndio analingania?

Moja watu ninaowarespect sana kwenye jf ni wewe kutokana na point zako pamoja wengine. Si suala la ushahidi kwa mazingira niliyoishi nimewaona wengi sana. Kumdhania mtu ni dhambi hilo nalijua sana. Lakini kutokana na wengi niliowaona ndo maana nimefikia hatu hiyo. Nakubali kukosolewa kwa kuwa no one is perfect. Kumlingania mtu si lazima uongee bali hata personality yako inaweza kumlingania mtu.

Uislam umekuja kwetu hali yakuwa ni mgeni na utarejea kwa mola hali ya kuwa ni mgeni.
 
Moja kati ya mashekhe ninaowaheshimu nakuwakubali kutokana na mitazamo yao kiimani...
 
Nyie mnaojifanya mmesoma sana dini mmeufanyia nini uislam? Tatizo mnajfianya wajuaji sana wakati nyie ndo watenda maovu wakubwa. Laiti kama mngekuwa wasomi wenye kumfuata mtume s.a.w basi wengi wangeingia ktk uislam kwa hiari zao kutokana na matendo yetu sisi waislam. Waislam kama wewe mnaojifanya mwaijua sana dini ndo balaa tena afadhali sisi ambao hatujasoma sana na ambao bado twaitafuta elimu huku mkitudharau.

Jihadi kubwa iliyobaki duniani kwetu sisi waislam nikubadili nyoyo zetu. Na hiyo ndo ngumu zaidi kwani tumejenga uadui mkubwa miongoni mwetu. Shekhe huyu hampendi yule, huyu amuona yule hana elimu na mengine mengi. Hayo ndo tuliobakiza ndo maana uislam unayumba

Kwahiyo wewe sheikh wako amekufindisha kupiganao picha wanawake kama alivyofanya ili waingie ktk Islam?uislam Si dini ya matashi/ hisia za MTU,sheikh,ustadh,n.k Bali uislam nikufuata maamrisho na kuacha makatazo ya Allah na mtume wake bila kujali nani atafurahi/kuchukia?
 
Yah hata mimi pia nimeshakutana naye mara mbili kwenye ishu za kidini yuko very very positive na misimamo yake inaeleweka

Njaa itawapeleka motoni hawa masheikh wa bakwata!sindio huyu alijiita JAJA Kwenye mechi na wale makafiri?
 
Njaa itawapeleka motoni hawa masheikh wa bakwata!sindio huyu alijiita JAJA Kwenye mechi na wale makafiri?

Angalia siku ya kiama yeye akaenda peponi nawe ukaenda motoni lakini?
 
Back
Top Bottom