Zero distance inaswihi ?

Zero distance inaswihi ?

Tee Bag

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
7,220
Reaction score
5,627
Shehe wa mkoa wa dar es salaam
 
Attachments

  • 1419067518264.jpg
    1419067518264.jpg
    21.7 KB · Views: 2,179
Mtume s.a.w alikuwa akikaa na wasiokuwa waislam huku akiwapa mawaidha na hatimaye wakawa waislam. Tena kuna mmoja hadi akawa kila siku ajisaidia kwenye mlango wa mtume s.a.w na siku ambayo hakujisaidia mtume alimfuata na kumjulia hali. Hivi sisi waislam wa sasa tutaweza kufanya hivyo hali ya kuwa hapo tu mnamdharau shekhe kisa kapiga picha na huyo muigizaji?

Tatizo la waislam wa leo ni kukariri bila kuelewa. Mnajifanya mwaijua dini sana kumbe ni watenda maaswi wakubwa! Hivi tukisema kwa kuwa sisi ni waislam tukae peke yetu tusishirikiane nao kwa lolote je, tutawalinganiaje wakristo na wayahudi kuingia ktk uislam hali ya kuwa tumewatenga?

Someni dini acheni kukaririshwa na mashekhe wa kubumba.
 
Kuna mipaka kati mwanamke na mwanamume, hilo pia hulijui?
 
Mtume s.a.w alikuwa akikaa na wasiokuwa waislam huku akiwapa mawaidha na hatimaye wakawa waislam. Tena kuna mmoja hadi akawa kila siku ajisaidia kwenye mlango wa mtume s.a.w na siku ambayo hakujisaidia mtume alimfuata na kumjulia hali. Hivi sisi waislam wa sasa tutaweza kufanya hivyo hali ya kuwa hapo tu mnamdharau shekhe kisa kapiga picha na huyo muigizaji?

Tatizo la waislam wa leo ni kukariri bila kuelewa. [Mnajifanya mwaijua dini sana kumbe ni watenda maaswi wakubwa!]Hivi tukisema kwa kuwa sisi ni waislam tukae peke yetu tusishirikiane nao kwa lolote je, tutawalinganiaje wakristo na wayahudi kuingia ktk uislam hali ya kuwa tumewatenga?

Someni dini acheni kukaririshwa na mashekhe wa kubumba.

Hapo kwenye red, dini inakuamrisha umdhanie mtu?
Sema jambo kwa ushahidi

Huyo shehe hapo ndio analingania?
 
Back
Top Bottom