Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,220
- 5,627
- Thread starter
- #21
masai dada kama mcharo!!!nimetumia kurunzi
Last edited by a moderator:
masai dada kama mcharo!!!nimetumia kurunzi
masai dada kama mcharo!!!
Divert when jam is heavy mpwa
mpwa acha tu kama ikikaa sana tumboni inakua Gundi acha iwe gundi tu mume wa mtu naogopa kunyolewa nywele zangu nimezifuga mwaka wa 5 sasa zipo ndefu kama muhindi
Mtume s.a.w alikuwa akikaa na wasiokuwa waislam huku akiwapa mawaidha na hatimaye wakawa waislam. Tena kuna mmoja hadi akawa kila siku ajisaidia kwenye mlango wa mtume s.a.w na siku ambayo hakujisaidia mtume alimfuata na kumjulia hali. Hivi sisi waislam wa sasa tutaweza kufanya hivyo hali ya kuwa hapo tu mnamdharau shekhe kisa kapiga picha na huyo muigizaji?
Tatizo la waislam wa leo ni kukariri bila kuelewa. Mnajifanya mwaijua dini sana kumbe ni watenda maaswi wakubwa! Hivi tukisema kwa kuwa sisi ni waislam tukae peke yetu tusishirikiane nao kwa lolote je, tutawalinganiaje wakristo na wayahudi kuingia ktk uislam hali ya kuwa tumewatenga?
Someni dini acheni kukaririshwa na mashekhe wa kubumba.
Si wanasemaga eti mke was mtu sumu mme wa mtu maziwa?
Aliokuambia amekudanganya
Masai nini tena? Kazi gani mida hii? Silali nafanyaje?
Kwani wee under 18?
kichwa kipi ??