Zembwela awaponda UKAWA

Zembwela awaponda UKAWA

Zembwela hana shule wala nini uelewa wake ni mdogo sana.

Ila ni mfanisi na bora zaidi yako, UKAWA sioni kama wanania njema na watanzania zaidi ya maslahi yao binafsi, Siogopi mabomu kama @zembwela ila sijaona hoja ya kunishawishi kuwaunga mkono UKAWA
 
Binafsi nilikua napenda sana kumsikiliza zembwela wa East Africa Radio na kuna watu walikua wananicheka sanaa,ila leo katika kipindi chake cha saa tatu mpaka 7 nimeshaangaa ujinga alionao katika kichwa chake na kamfundisha na huyo dada anayekuaga nae yaani mjinga ni mjinga tu, zembwela huwezi iokoa CCM kwa hilo na utajikosea heshima na Radio yako itakosa mashabiki kama zilivyokuwa nyingine.

SMS za maana huzisomi unatunga zako tu unajipendekeza unadhani utapewa ubunge.

Eti UKAWA waandamane wenyewe wewe unaogopa mabomu so nani kakwambia mapigano yakianza yatachagua huyu ni zembwela tusimshambulie. Zembwela shtuka usitumike sanaa eti una chama kweliii!

Sasa upinzani usipo kuwepo unaona itakuwa poa?

Ndugu ninahasira leo umeniudhi sana weka wazi kuwa wewe ni CCM full stop.

Zembwela anajua nn bhana...
 
wameshachukua hela hao; wanapewa wapige porojo; hawajajua madhara yake kuwa itaendelea kula kwao; kwani ikipitishwa katiba mbovu unadhani nani ataendelea kuumia? tatizo la wabongo wanahisi katiba mbaya ni kuwakomoa ukawa.. shame on zembele and claudi fm..hao ni wale watu wanaotumika kama ndomu halafu wanatupwa..
 
Ina maana huamini kama alikuwa anangea yeye? Ukishangaa ya Zembwela utastaabu ya PJ na Babla nao walisema gazeti likiandika habari za Ukawa hawasomi

PJ nilimdharau siku moja Ilala akaja na Marioo wake mwanamke ndio alikuwa anaclear bill zote mezani kwao nilipoona hadi sigara ananunuliwa na mwanamke basi mpaka kesho mimi huwa siwashangai hawa mapunguani.

Wewe ndo PUNGUANI kwani kulipiwa bill na mwanamke kuna tatizo gani mkuu.....?
 
Jifunzeni kuheshimu mawazo ya wengine.

Tajiri yake Zembwela Mzee machache yeye ni Ukawa na daily anawapa promo kwenye midia zake mpaka mnamuanzishiaga threads za kumsifu hapa jukwaani.

Lakini na mbali ya boss babawawili kuwa UKAWA bado anaheshimu mawazo ya wafanyakazi wake wasiokubaliana kwenye misimamo ya vyama.

Sasa nyie ni akina nani mpaka mmpangie Zembwela misimamo yake ya chama na maisha yake kwa ujumla??????

Utafiti wa kisayansi hapa jukwaani unadhihilisha ni kiasi gani chadema ilivyo na watu wenye upeo mdogo sana kuanzia viongozi wao hadi mashabiki na wanachama wake.

Kwakweli ni aibu kubwa sana kwa mtu anayejitambua na mwenye upeo kuwa mfuasi wa hiki chama.

Ni hayo tu. Kutukana ni jadi yenu.
 
UKAWA Wamepoteza mvuto katika jamii vigezo nlivyotumia katika comment zote kwenye hii thread nyingi hazikubaliani na Ukawa, Mwanga wa milele ukuangazie ewe UKAWA Aminaa pumzika kwa amani.
 
Huyu zembwela mchomelea mageti na magrill pale sinza ccm sasa hivi anajifanya mjuaji na kukosoa ukawa? Pimbi kweli hili jamaa
 
Kanjanja ZEMBWELA mvuta bangi ktk maeneo ya shule ya msingi Reginald Mengi Sinza madukani uelewa wake ni mdogo sana division 5 achana naye huyo

Kumbe anakula bangi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Poor ukawa, wataandamana wao na wajinga wengine mlioko humu....


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
wewe ndo zembwera au kiherehere tu,uzuzu ni jadi yenu na chama chenu😛eace:
 
Aende shule akasome kwanza aachane na mambo ya kuungaunga na kuropoka akitegemea hisani za kuwa balozi wa nyumba 10,anaijua katiba ?:yield:
 
Lakini pia hii nchi sio ya ukawa hii nchi ni ya watz wote,nakila mtz ana uhuru wa kuchagua au kusema anachoona ndo sahih
 
pumbafu sana huyu mvuta bangi mimi hua naangaliaga kipindi chake cha uswaz pale eatv basi yeye huyu mvuta bangi na wale mashoga wa kipindi cha super mix sita angalia tena vipindi vyao niko radhi kushinda naangalia tu bbc na jamii forum
 
Kunatatzo la watu jf kuwapangia watu waseme wanachoona wao n sahihi, uhuru wa mawzo ya mtu uheshimiwe na kam hauendan ni itikadi au msimama wako heshim mawazo ya mtu mwenzio, hiyo ndiyo demokrasia,

Mhim n kuwa kutukanana c njia bora ya kufiksha ujumbe ila n kujieleza namna unavyojitambua na ukivyo, wakati mwingine tukubaliane kutokukubaliana.
 
Huwezi kumchukia mtu kwa kukataa kuandamana, niache kutafura pesa nikaandamane kwa manufaa ya nani? Pelekeni huko, bongo movie bado mmesusia kuangalia kwa wasanii kujiunga ccm??? Kwa style hii mtaacha mambo yote.
 
Imekuwa ni kasumba kwa watangazaji wengi hapa Tanzania kuonyesha mahaba yao kwa chama tawala, sio vibaya kuwa na chama ila ushabiki katika chombo cha habari unabadilisha dhana nzima na maana ya chombo hicho cha habari, tatizo hapa linaweza kuwa ni elimu ndogo, uelewa mdogo, kujipendekeza au kutumiwa. Hali kama hii ni hatari kwa mstakabari wa amani ya taifa, tuchukulie mfano wa Rwanda ambapo wanahabari walichangia pakubwa katika mauaji ya kimbari kwa kuweka wazi na kushabikia misimamo yao.
 
Watu wakianza kulalamika hapa tunajiuliza nani CcM nani upinzani ingali CcM bado wanashinda viti.

Hapa kuna mkono wa mtu.


The King.
 
Hii tabia ya kumbeza mtu kisa tu ameenda against na mawazo yako.. kwa mimi naona hata heshima ya mtoa mada inashuka kwasababu yale ni mawazo yake, in case angeongea opposite, ungesema ana akili sana, ni mbaya sana kuwa mtumwa wa fikra...
 
Back
Top Bottom