ZEMBWELA...hii sio Tanzania ya zamani...usiwasaidie watu kuamua na kufanya maamuzi!...leo umeharibu...kazi yako ni kutoa taarifa na kuwa neutral...wewe unakuwa mshabiki...huna maana!Binafsi nilikua napenda sana kumsikiliza zembwela wa East Africa Radio na kuna watu walikua wananicheka sanaa,ila leo katika kipindi chake cha saa tatu mpaka 7 nimeshaangaa ujinga alionao katika kichwa chake na kamfundisha na huyo dada anayekuaga nae yaani mjinga ni mjinga tu, zembwela huwezi iokoa CCM kwa hilo na utajikosea heshima na Radio yako itakosa mashabiki kama zilivyokuwa nyingine.
SMS za maana huzisomi unatunga zako tu unajipendekeza unadhani utapewa ubunge.
Eti UKAWA waandamane wenyewe wewe unaogopa mabomu so nani kakwambia mapigano yakianza yatachagua huyu ni zembwela tusimshambulie. Zembwela shtuka usitumike sanaa eti una chama kweliii!
Sasa upinzani usipo kuwepo unaona itakuwa poa?
Ndugu ninahasira leo umeniudhi sana weka wazi kuwa wewe ni CCM full stop.
hivi zembwela ni mwandishi wa habari? mi nilijua ni mchekeshaji kama kina masanja. amesomea wapi uandishi halafu dah, hadi namwoneaga huruma nikimwangalia anavyotangaza kipindi chake cha uswazi. hivi musa alienda wapi kipindi chake kimechakachuliwa?mbona waandishi wa habari wa tanzania daima hamuwasemi hivi wanapoaandika mambo ya kichadema?? tuu,na kwanini kila mtu nyie mumlazimishe kuamini ya kwenu hata kama sio sahihi??Nauwalakini na mitazamo yenu,nadhani mtakuwa na uwelewa mdogo katika siasa na demokrasia kwa ujumla
Binafsi nilikua napenda sana kumsikiliza zembwela wa East Africa Radio na kuna watu walikua wananicheka sanaa,ila leo katika kipindi chake cha saa tatu mpaka 7 nimeshaangaa ujinga alionao katika kichwa chake na kamfundisha na huyo dada anayekuaga nae yaani mjinga ni mjinga tu, zembwela huwezi iokoa CCM kwa hilo na utajikosea heshima na Radio yako itakosa mashabiki kama zilivyokuwa nyingine.