Zembwela awaponda UKAWA

Zembwela awaponda UKAWA

Binafsi nilikua napenda sana kumsikiliza zembwela wa East Africa Radio na kuna watu walikua wananicheka sanaa,ila leo katika kipindi chake cha saa tatu mpaka 7 nimeshaangaa ujinga alionao katika kichwa chake na kamfundisha na huyo dada anayekuaga nae yaani mjinga ni mjinga tu, zembwela huwezi iokoa CCM kwa hilo na utajikosea heshima na Radio yako itakosa mashabiki kama zilivyokuwa nyingine.

SMS za maana huzisomi unatunga zako tu unajipendekeza unadhani utapewa ubunge. Eti UKAWA waandamane wenyewe wewe unaogopa mabomu so nani kakwambia mapigano yakianza yatachagua huyu ni zembwela tusimshambulie. Zembwela shtuka usitumike sanaa eti una chama kweliii!

Sasa upinzani usipo kuwepo unaona itakuwa poa?

Ndugu ninahasira leo umeniudhi sana weka wazi kuwa wewe ni CCM full stop.
Jina lenyewe la Zembwela, na mawazo ya kizembwela kwa hiyo usitegemee busara kutoka kwa zembwela.
 
Zembwela hana tofauti na kibonde,wote washenzi
hata ukiwasikiliza we wappuze tuu,kwan wanaushawish gani hao zaid ya mtaani kwao
 
Ni maneno yake au alikua anasoma sms?
 
Nakubaliana na zembwela,,ukawa hawana akili kazi kutaka kuponza wananchi tu,,,waandamane wenyeweee
 
Binafsi nilikua napenda sana kumsikiliza zembwela wa East Africa Radio na kuna watu walikua wananicheka sanaa,ila leo katika kipindi chake cha saa tatu mpaka 7 nimeshaangaa ujinga alionao katika kichwa chake na kamfundisha na huyo dada anayekuaga nae yaani mjinga ni mjinga tu, zembwela huwezi iokoa CCM kwa hilo na utajikosea heshima na Radio yako itakosa mashabiki kama zilivyokuwa nyingine.

SMS za maana huzisomi unatunga zako tu unajipendekeza unadhani utapewa ubunge.

Eti UKAWA waandamane wenyewe wewe unaogopa mabomu so nani kakwambia mapigano yakianza yatachagua huyu ni zembwela tusimshambulie. Zembwela shtuka usitumike sanaa eti una chama kweliii!

Sasa upinzani usipo kuwepo unaona itakuwa poa?

Ndugu ninahasira leo umeniudhi sana weka wazi kuwa wewe ni CCM full stop.

Zembwela hana shule wala nini uelewa wake ni mdogo sana.
 
Free Tanzania mkuu, kila mtu na mawazo yake. Haiwezekani watu wote wapende UKAWA kama wewe na mimi. Nawakilisha.
 
Hihihihihi yaani sasa hivi toka wameanza hawa jamaa wa UKAWA kila kitakachosemwa kikiwa against them unaonekana huna akili mvuta bangi jamani ndugu zangu kwani hao wanaounda UKAWA wao ni MUNGU kwamba they are always right ifike wakati tuwekwe wazi is there any else behind this ambacho tutafaidika wote watanzania apart from what they are always talking. Mimi nasema kwenye maandamano ni haki yetu sote kikatiba katika kushinikiza maslahi ya wote lakini sio kila kitu cha UKAWA tulaimishane ni sahihi, maoni na maswali juu masuala ya UKAWA yatujengee uelewa na ujasiri na sio kulazimishana kuelewa ilhari kuna visiri.

Mkuu na kupa na' LIKE' ya maneno. Ukawa nlikuwa nawakubal kchizi, ila wameota pembe wanataka wajifanye miungu watu sasa
 
Ni maneno yake au alikua anasoma sms?

Ina maana huamini kama alikuwa anangea yeye? Ukishangaa ya Zembwela utastaabu ya PJ na Babla nao walisema gazeti likiandika habari za Ukawa hawasomi

PJ nilimdharau siku moja Ilala akaja na Marioo wake mwanamke ndio alikuwa anaclear bill zote mezani kwao nilipoona hadi sigara ananunuliwa na mwanamke basi mpaka kesho mimi huwa siwashangai hawa mapunguani.
 
Baharia umenikumbusha zembwela akiwa mchekeshaji na marehemu max nilikuwa namkubali sana kujiunga na umbeaumbea kama mijimama ya mwananyamala kanitibua hadi nahisi kichefuchefu
 
Watanzania hatuvumilii dissent, yani sauti inayokinzana na mawazo yako wewe!

Ni urithi potofu kutoka tawala za nyuma za kiimla, za baba wa Taifa.

Wakati ule, Taifa lilitakiwa liishi kwa fikra moja, dissent ilikuwa kosa la jinai.

Hizi ni zama mpya, Zembwela akisema kitu ambacho hukubaliani nacho usikimbilie kumtusi.

Usitukane dissent, boresha mawazo yako kutokana na sauti ya dissent utakayoisikia.
 
Zembwela mm binafsi napenda vopindi vyako ila kwa hili utanipoteza achana ukawa kabisa ndugu fanya yako.
 
Hakuna Vijana wajinga kama wa Bavicha yani wao wanaamini UKAWA ndio baba na Mama yao na wala UKAWA hawakosei!

Ni ujinga kila siku kuwasema watangazaji kisa wanasema msio yapenda! Kwani nyie UKAWA ni Malaika?

Hivi nani aliwadanganya kila mtanzania ana unga mkono huo uchafu wa UKAWA?

Hongera Zembwela!

Rutta unahakika na unachosema au upo kwa matumain?
 
Free Tanzania mkuu, kila mtu na mawazo yake. Haiwezekani watu wote wapende UKAWA kama wewe na mimi. Nawakilisha.

Swala c kupenda ukawa bali ww hapo ulipo fkir ulipo toka, ulipo na unapopaswa kufika! ukiona ww upo saf na family yako? Ipe akili yako dkk tano kumfikiria mwananchi fukara wa nchi hii!
 
Hakuna Vijana wajinga kama wa Bavicha yani wao wanaamini UKAWA ndio baba na Mama yao na wala UKAWA hawakosei!

Ni ujinga kila siku kuwasema watangazaji kisa wanasema msio yapenda! Kwani nyie UKAWA ni Malaika?

Hivi nani aliwadanganya kila mtanzania ana unga mkono huo uchafu wa UKAWA?

Hongera Zembwela!

Umenena vyema mkuu!
 
Ina maana huamini kama alikuwa anangea yeye? Ukishangaa ya Zembwela utastaabu ya PJ na Babla nao walisema gazeti likiandika habari za Ukawa hawasomi

PJ nilimdharau siku moja Ilala akaja na Marioo wake mwanamke ndio alikuwa anaclear bill zote mezani kwao nilipoona hadi sigara ananunuliwa na mwanamke basi mpaka kesho mimi huwa siwashangai hawa mapunguani.

Mimi nilikuwa nauliza tu maana mtoa mada kwa namna alivyoandika inaonekana Zembwela alikuwa anasoma sms kwenye kipindi chake,sasa jamaa inaonekana hajaamini kama sms iliyosomwa imetumwa bali ni maneno yake tu

Kimsingi huwa sipendi kuzungumzia mambo ya watu hasa hawa wanaojiita mstaa kwani huwa ni za kijinga sana

Hao watangazaji wa Clods pamoja na redio yao ni upuuzi tu,wala siwezi hata kupotea muda wangu kujadili hata hapa itakuwa ni ajabu sana kwa anaenijua kukuta nimeandika haya!
 
Ukawa siyo wa kuwaponda tu bali wanapaswa kutukanwa kabisa hawana akili yote wanayofanya ni upuuzi kabisa kwenye jamii.
 
Mimi nilikuwa nauliza tu maana mtoa mada kwa namna alivyoandika inaonekana Zembwela alikuwa anasoma sms kwenye kipindi chake,sasa jamaa inaonekana hajaamini kama sms iliyosomwa imetumwa bali ni maneno yake tu

Kimsingi huwa sipendi kuzungumzia mambo ya watu hasa hawa wanaojiita mstaa kwani huwa ni za kijinga sana

Hao watangazaji wa Clods pamoja na redio yao ni upuuzi tu,wala siwezi hata kupotea muda wangu kujadili hata hapa itakuwa ni ajabu sana kwa anaenijua kukuta nimeandika haya!
Kwahiyo leo umekubali kuwa wewe ni mjinga au unataka kusema nini.
 
Nakubaliana na zembwela,,ukawa hawana akili kazi kutaka kuponza wananchi tu,,,waandamane wenyeweee
Naunga mkono wazo lako ukawa mburula kabisa hawana wanachojua wanadhani watanzania hawana akili kama wao mazuzu yasiyojitambua hata mie ntawaponda tu wasifiwe kwa kipi cha maana.
 
Back
Top Bottom