Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,708
- 4,577
Sio kweli kuwa ukawa ni wazushi sio kabisa,kama hujui naomba niseme na wewe kidogo, ukawa wana hoja, Katiba ni maridhiano sio ubabe au maslahi, CCM Wameshika Mpini ndio maana wanakataa kwa makusudi matakwa ya ukawa kwa sababu yatawaathiri na hasa kwenye uchaguzi.
Kama wewe ni muelewa mzuri katika kutunga katiba maridhiano ni muhimu sana ili kupata katiba ya wananchi inayojali maslahi ya wote, kila kundi katika nchi.
Kumbuka kuwa mapendekezo yaliyokwenda bungeni ni ya wananchi, Hivyo CCM Kutumia wingi wao kupuuzaa maoni ya wananchi sio sawa, walitakiwa wajadili walete kwetu sisi tuone kama itatufaa au la ! hapo ndipo wao wangeanzia.
Na sio kweli kuwa Watanzania wameona ukawa ni wazushi, Vibaraka na wachumia tumbo kama wewe ndio hasa wanaodharau ukawa.
UKAWA ni sawa na mke mkorofi aliyepata bwana wa nje na anatamani kuachwa. Kila siku wanaongeza madai moja baada ya jingine! wakichekewa hawa iko siku watadai wawe wanaishi Ikulu mle mle ndani. Walianza kwa kusema wao hawaendi bungeni, well wamegundua kumbe kuna wenzao hawataki kuburuzwa na akili ndogo ya division ziro ya Disco joker, sasa wamekuja na hili la kulazimisha watu waandamane waumizwe wao wakauze picha kwa waliwatuma huko ughaibuni! kifupi ukawa ni wehu.