Zembwela amponda Sugu

Tuacheni kutetea upumbavu.......ivi nyie mnaakili sawa sawa kweli kusapoti ujinga anaouufanya sugu....mtu ameingia studio kurekodi albam ya matusi...hii inaonesha hana busara mbele ya jamii...ni muhuni...afu anajitokeza mtu anakemea nyie mnampinga...ebu kueni wakubwa bac
we shika adabu yako. muhuni ni huyo hapo chini anayeenda kupiga picha na boyzIImen marekani kwa kutumia kodi zetu.
Na ni vizuri ukajifunza kujadili mambo unayoyafahamu vizuri.
kikwetenaboyziimen.jpg

huyo zembwela naye simuelewi nini chanzo cha kukimbilia kazi ya utangazi utakuta sababu kubwa ni maslahi duni wasanii wabongo ni kama misukule iweje chama cha wasanii kiwe chini ya rugena fela wakati ruge ndo anawanyonya na fela kawadhulumu tmk wasanii sugu yeye ameibua mjadala ili wasanii wjitambue mfano wasanii wa nigeria waligomaa kufanya shoo kwa sababu ya pesa kidogo iweje bongo nimeshangaa msanii kama profesa j ndio anamalizia nyumba yake mbezi ni aibu asubiri shoo za laki 5 ili ajenge wasanii hwamiliki nyumba wanaishi kwenye vyumba vya kupanga sinza wakati wakina ruge wanaishi masaki. Wasanii wanalalamika pembeni wkati tatizo wanalijua antivirus iawaunganisha wote tu

Ni wakati anaielezea Antivirus mixtape. Amejiuliza inakuwaje mbunge anapata muda wa kutunga matusi kwa ajili ya kuwatukana watu. Je jimbo lake la Mbeya limekamilika kwa mahitaji yake hadi anapata muda wa ziada kama huo.

pamoja na ubunge ni mwana-hip hop

Wewe na Zembela akili zenu kama zinafanana,tofauti yele fundi wa kuongea wewe fundi wa kuandika.Tatizo hamfikirishi ubongo vyema kabla ya kuongea /kuandika..Tafuta hoja za msingi
UNATOA WAPI MUDA WA KUANDIKA MAADA ZA KUJADILI MANENO YA ZEMBWELA?

Antivirus vol. 2 imetoka last week wewe

Wewe na Zembela akili zenu kama zinafanana,tofauti yele fundi wa kuongea wewe fundi wa kuandika.Tatizo hamfikirishi ubongo vyema kabla ya kuongea /kuandika..Tafuta hoja za msingi

UNATOA WAPI MUDA WA KUANDIKA MAADA ZA KUJADILI MANENO YA ZEMBWELA?

Mkuu, hoja za msingi ni zipi? Sugu ni mbunge wa jimbo ambalo shangazi yangu anaishi kwahiyo kushindwa kwake majukumu kutaniathiri moja kwa moja.

Zembwela ana kesi ya kubaka yule! Alimtokea house girl,then akamtosa akaona ishu ni kumpiga gemu live kwa nguvu,by then wife wake hakuwepo so msala ukatimba polisi then kisutu,so afikirie hilo rather than kuangaika na sugu atampoteza oooi

Wewe ni shangazi yako anapoishi sio wewe! Mimi ni mbunge wangu napoishi na naona anatuwakilisha vyema hakuna muda wake anaoutumia vibaya

Mkuu, hoja za msingi ni zipi? Sugu ni mbunge wa jimbo ambalo shangazi yangu anaishi kwahiyo kushindwa kwake majukumu kutaniathiri moja kwa moja.

Zembwela hafai kuwa mtangazaji wa redio, hasa kwa kipindi kama hicho, hana uelewa wa kutosha kukiendesha, matamshi, nk. Ni maoni yangu tu.
naomba nikupinge mkuu

nimemsikiliza sana zembwela na kipindi chake, he is brilliant, na hata swali alilouliza ni valid... what sugu needs to do ni kumjibu tu, na ana majibu yake tena mazuri

Tusimjaji mtu simply because ameuliza swali la kutuumiza

Zembwela ameshaua sana mafisadi kwenye kipindi chake kiasi kwamba kuna wakati najiuliza huyu jamaa anajiamini nini??

MNYONGE MNYONGENI NA HAKI YAKE MPENI

Maswali ya zembela ni rahisi sana kwa sugu... msanii anaweza kutengeneza album in 5 days kama ana timu nzuri na maandalizi ya kutosha kabla ya kutengeneza album

SUGU ANAWEZA KUTENGENEZA NYIMBO TATU KWA MUDA SAWA NA TRIPU MOJA TU YA JK KWENDA ADDIS, NA NYIMBO MBILI KWA MUDA WA SAWA NA NA ULE JK ANATUMIA KUNYWA KAHAWA KWENYE COCKTAIL NA WAKUBWA WENZAKE NA NYIMBO MBILI KWA MUDA SAWA NA JK ANAOTUMIA KUANGALIA NGOMA ZA ASILI NA VITENGE VYA WAX ADDIS

KISHA ANAMALIZIA NYIMBO TATU KWA MUDA SAWA NA JK ANAOTUMIA KUSAFIRI KWENDA MSATA KUANGALIA KAMA MINAZI IMEOTA

Mkuu, hoja za msingi ni zipi? Sugu ni mbunge wa jimbo ambalo shangazi yangu anaishi kwahiyo kushindwa kwake majukumu kutaniathiri moja kwa moja.
Hahahaaaaaaaaaaaaaa

JK ni rais wa nchi ambayo mimi, ukoo wangu wa mke wangu, majirani zangu, mbwa, ng'mbe na viumbe vyote hai vinaishi..... kushindwa kwake majukumu kunamuathiri hata sugu, shangazi yako na hata wewe mwenyewe moja kwa moja

Kweli nyani haoni kundule

Ni wakati anaielezea Antivirus mixtape. Amejiuliza inakuwaje mbunge anapata muda wa kutunga matusi kwa ajili ya kuwatukana watu. Je jimbo lake la Mbeya limekamilika kwa mahitaji yake hadi anapata muda wa ziada kama huo.

Yeye alipombaka house girl wake alikuwa na muda wa kufanya hayo badala ya kufanya kazi za kujenga taifa? Kwanza hata mleta thread mwenyewe ni walewale tu...You just bring here issues just for your personal and interest of CCM...I think,this man Mwita25 has some serious problems and we need to take it seriously to help this man,otherwise we will loose him soon because it seems he is on the process of running mental disabilities totaly...this can be revealed through his threads here at JF....For a person who is carefully,he/she cannot bring such type of a threads without making undoubtfully research about this man Zembwela...huyu ni mbakaji na kesi ipo mahakamani for your information,and normally for people like Zembwele elsewhere are normaly not required to live in a community,this because he is not a human being anymore mbwa ndio wanavamia majike ovyoovyo....But,Bad enough people who are advocating themselves that they are competent with GPA of 4,bring uharo here at great thinker forum,of which even a baby of nursery school cannot do so....shame to you lol!

Zembwela ni nani?
Ni comedic radio personality mmoja mkubwa sana kwa viwango vya bongo. Ni dizaini ya Kibonde, lightweight fulani, hana substantive commentary bali ni kuchekesha chekesha tu, lakini, again, kwa level yetu ya uelewa kibongo bongo, ana masikio ya wengi sana.

Wadau, hivi hakuna station ambayo ina no-nonsense media personality anaechambua current affairs bila kuuma na kupuliza serikali? Ayub Rioba alikuwa na show wakai cancel, sio?

Sugu anajaribu kufikisha ujumbe kwa njia ya mziki.
Anaongea ukweli ambao matozi kama wewe na Zembwela mnashndwa kuusema.
Zembwela anashindwa kujua kuwa hali aliyonayo ni kwasababu ya wizi wa kazi zake ambao sugu anautetea.

Sugu ni mtu ambaye amefanikiwa kutoka dayworker kwenda kuzamia UK kupata gamba, kuimba,kwenda USA mpaka Ubunge anastahili sifa. Naamini wapo vijana wengi ambao anawawakilisha kimtazamo wa maisha. Hakukata tamaa japo hakufanikiwa kusoma university lakini kakomaa kichwa mpaka kimeeleweka na wana mbeya anawaletea maendeleo anastahili kupongezwa haswa na vijana. wapo vijana wamekata tamaa kabisa baada ya kutoendelea na masomo lakini wanatakiwa waangalie history ya sugu watafanikiwa. na ishaalaha siku moja sugu atakuwa waziri. Keep it up sugu. Zembwela ni mtu aliyekosa ufahamu zaidi ya kuchekesha badala atetee wananchi wenzie alioishi na kukua nao magomeni cotta wasihamishwe nje ya mji.

Back
Top Bottom