Gefu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 6,929
- 2,567
- Thread starter
- #81
mkuu naomba unisaidie,hivi hii sera ya kutoa ahadi pale mtu anapotafuta kuchaguliwa badala ya kueleza Yale aliyokwisha kufanyia nchi au kundi analotaka limchague ilianza lini na wapi ilianzia?
...mkuu hakuna sera ya namna hii ila hii style imekuja kutokana na watanzania kutokuwa wafuatiliaji wa mambo na kushindwa kuwawajibisha wale wanaoshindwa kuwatumikia. Wakati huohuo watanzania tunapenda kusikia ahadi nzuri bila kuhoji utekelezaji wake. Nakumbuka kunakipindi mh.maghembe alisema kufika 2014,90% ya wakazi wa DSM watapata maji safi. Walipo muuliza atapata wapi pesa na wakati bajeti yake ni ndogo alikuwa mbogo kwelikweli akisema unauliza serikali itapata wapi pesa ?matokeo yake mpaka leo kashindwa kutimiza ahadi yake...