Wakishasikika na kuonekana kwenye media wanajua kuwa wana akili sanaaa.
Wewe Ndo Una Akili Sana Ndo Mana Unajiita Chizi
Wakishasikika na kuonekana kwenye media wanajua kuwa wana akili sanaaa.
Kumbe wewe ni mshabiki wa Azimio lá Zanzibar, lilioua Azimio la Arusha?Nimefuatilia kwa muda mtazamo wa huyu mwanahabari zembwela na nimegundua kunamambo hafikirii sawa. Kwa mtazamo wake ni kwamba mbunge na diwani ndo mwenye dhamana ya maendeleo ya jimbo. Sitaki kuhoji kiwango chake cha elimu,lakini kwa mtu mwenye ufahamu unajua nani anawajibika kuleta maendeleo na nani anapaswa kupeleka vipaumbele vya wananchi husika. Bwana mdogo zembwela nadhani unapaswa kuwaunganisha vijana kuishinikiza serikali kutimiza yale mliyowatuma wabunge wenu wakayapeleke serikalini kwa kutengewa bajeti na utekelezaji. Lakini ukiendelea kuwaaminisha watu uzembe wa serikali ni wa mbunge unakosea. Sote tunawajua wabunge wawajibikaji na wazembe na lazima tuwawajibishe,lakini hujuma za serikali kwa baadhi ya wabunge kuwafanya hawawajibiki ndo kumezaa mfuko wa jimbo. Sasa wabunge wakiwa watendaji nani ataisimamia serikali ? Mwisho nilistuka na kuogopa zembwela alipowahamasisha wananchi kumng'oa diwani bila uchaguzi eti hawawezi kusubiri uchaguzi wakati anachelewesha maendeleo. Nahisi sheria ya uchaguzi haijui. Amekomaa na azimio la arusha bila kujua kuna azimio la zanzibar wameleta ccm.
Lakini Katiba Si Inamruhusu?? Hongera Wewe Unaejua Kila Kitu, Mbna Hata Rais Wako Huwa Anaongea Kama Leyman
Kuwasaidia tu, yeye anasikia clausi fm! Ila ni Clouds fm. Punguza jazba mkuu.Usijifanye Huelewi? Kaandika Hivo Makusudi Na Nafahamu Hata Wewe Ushaelewa Labda Kama Kichwa Chako Kimejaa Makamasi Tu
Kumbe wewe ni mshabiki wa Azimio lá Zanzibar, lilioua Azimio la Arusha?
Hivi una maana wewe hujui kuwa hata ufisadi mbalimbali unaoendelea nchini, kama vile EPA, Escrow account, skandali ya rada, ufichwaji wa matrilioni, kwenye mabenki ya Uswisi, ni matokeo ya kuliua Azimio la Arusha.
Bila shaka wewe unaolipigia debe Azimio la Zanzibar, utakuwa miongoni wa beneficiaries, wa mfumo wa nchi yetu wa kulea mafisadi, na ndiyo maana hata Presidaa wako, alitoa 'msamaha' kwa majambazi yalioiba mabilioni ya EPA, na kuwaambia, warejeshe tu hayo mapesa waliyokwapua, ili soo iishe!!
Mkuu huyu futilia mbali kwanza siyo mwandishi bali unprofessional comedian,uwezo wake wa kufikiri ndo umefikia kikomo au beyond repair.Kuendelea kumjadili ni sawa na kujadili kitendo cha mtoto wa mwezi mmoja kukojoa kitandani.Kingine mmbovu zaidi ni mwajiri wake kwani hata waandishio wa magazeti wanakuwa na mhariri anayepitia habari kabla hawajairusha.Au labda anatokea kile chama cha siasa ambacho takwimu inaonesha wamesheheni wenye elimu na uelewa duni.Nimefuatilia kwa muda mtazamo wa huyu mwanahabari zembwela na nimegundua kunamambo hafikirii sawa. Kwa mtazamo wake ni kwamba mbunge na diwani ndo mwenye dhamana ya maendeleo ya jimbo. Sitaki kuhoji kiwango chake cha elimu,lakini kwa mtu mwenye ufahamu unajua nani anawajibika kuleta maendeleo na nani anapaswa kupeleka vipaumbele vya wananchi husika. Bwana mdogo zembwela nadhani unapaswa kuwaunganisha vijana kuishinikiza serikali kutimiza yale mliyowatuma wabunge wenu wakayapeleke serikalini kwa kutengewa bajeti na utekelezaji. Lakini ukiendelea kuwaaminisha watu uzembe wa serikali ni wa mbunge unakosea. Sote tunawajua wabunge wawajibikaji na wazembe na lazima tuwawajibishe,lakini hujuma za serikali kwa baadhi ya wabunge kuwafanya hawawajibiki ndo kumezaa mfuko wa jimbo. Sasa wabunge wakiwa watendaji nani ataisimamia serikali ? Mwisho nilistuka na kuogopa zembwela alipowahamasisha wananchi kumng'oa diwani bila uchaguzi eti hawawezi kusubiri uchaguzi wakati anachelewesha maendeleo. Nahisi sheria ya uchaguzi haijui. Amekomaa na azimio la arusha bila kujua kuna azimio la zanzibar wameleta ccm.
Zembwera jembe huwezi mlinganisha na wale wa Clausi fm
...kweli mkuu wale wa claus ni utumbo,ila zembwe hawezi kutofautisha majukumu ya mbunge na serikali,na hayuko huru kusema kweli serikali inapoboronga...
Umetumwa na mawingu fm
...mkuu hukunielewa kwanini nimetaja azimio la zenj,ni kwamba huwezi kutumia sheria ya mwaka 1977 wakati imeshafanyiwa amendments mwaka 2000. Huwezi kuwambia wanasiasa waishi kwa azimio la arusha wakati la zanzibar limewapa uhuru wa kuvunja azimio la arusha. My point is zembwe achambue mambo katika uhalisia wake na si ktk kufikirika...
Mtangazaji Wa Ea Radio Na Ea Tv
Umetumwa na mawingu fm