Mimi namwambia baba shikilia hapo hapo tu, tulipotoka ni mbali kulipo tunapoenda!! Na jamaa anaelekea kukata pumzi!!Ungekuwa raia wa Ukraine na hakuna namna kabisa unaweza kuondoka nchini mwako katika hali yoyote ungemshauri nini Zelenskyy kama Rais wako kuhusu uvamizi wa Urusi kwa maslahi mapana ya nchi yako?
Putin lazima amtie adabu.Mimi namwambia baba shikilia hapo hapo tu,tulipotoka ni mbali kulipo tunapoenda!!na jamaa anaelekea kukata pumzi,!!
Asikubali nchi yake kuwa koloni la Urusi.Ungekuwa raia wa Ukraine na hakuna namna kabisa unaweza kuondoka nchini mwako katika hali yoyote ungemshauri au ungemtaka Zelenskyy kama Rais wako afanye nini kuhusu uvamizi wa Urusi kwa maslahi mapana ya nchi yako?
Wale waukraine(wananchi) ni tatizo,waligomea bidhaa za Urusi , Zelensky akiwaongoza kufanya hivyo.Ungekuwa raia wa Ukraine na hakuna namna kabisa unaweza kuondoka nchini mwako katika hali yoyote ungemshauri au ungemtaka Zelenskyy kama Rais wako afanye nini kuhusu uvamizi wa Urusi kwa maslahi mapana ya nchi yako?
Wale waukraine(wananchi) ni tatizo,waligomea bidhaa za Urusi , Zelensky akiwaongoza kufanya hivyo.
Halikuwatosha Hilo,wakamwondoa Kwa maandamano kiongozi wanaedai ni kibaraka wa Urusi.
Nimekupa hii mifano uone tatizo ni Zelensky au wananchi.
Sasa hao wananchi wanaotaka Shari,watamshauri Nini?
Tena ndani ya masaa 72Putin lazima amtie adabu.
akae chini na Putin wamalize vitaMlishauri ushauri gani?
Kuna kosa gani wananchi wa Ukraine kugomea bidhaa za urusi na kumuondoa madarakani rais waliyemuona ni pandikizi la Urusi kwa taifa hilo?Wale waukraine(wananchi) ni tatizo,waligomea bidhaa za Urusi , Zelensky akiwaongoza kufanya hivyo.
Halikuwatosha Hilo,wakamwondoa Kwa maandamano kiongozi wanaedai ni kibaraka wa Urusi.
Nimekupa hii mifano uone tatizo ni Zelensky au wananchi.
Sasa hao wananchi wanaotaka Shari,watamshauri Nini?
Uhuru una mipaka yake.Wanachi kugomea bidhaa za Urusi na kumuondoa kiongozi waliyedai ni kibaraka wa Urusi inawahusu vipi Urusi?!
Hayo si mambo ya ndani ya nchi yao wenyewe??
Russia msimamo wao ni kuwa "hakuna maana ya dunia kuwepo kama Russia haipo". Hawa ni watu wasio na cha kupoteza. Bora mfe wote na wao ili mkose wote. Ni watu waliokata tamaa. Hakuna jinsi utamsinda umdhalilishe. Atakufa na wewe.Mimi namwambia baba shikilia hapo hapo tu,tulipotoka ni mbali kulipo tunapoenda!!na jamaa anaelekea kukata pumzi,!!