Zelenskyy ashauriwe kwa manufaa ya Ukraine

Zelenskyy ashauriwe kwa manufaa ya Ukraine

Sawa. Isipokuwa matarajio si Ukraine kuchukuliwa na Urusi (kumbuka vitisho mbuzi vya masaa 24 pale mwanzo), wala si Urusi isambaratike. Bila shaka Putin kuondoka ni jambo la heri sana hata kwa Urusi yenyewe. Maelfu ya wapiganaji wake walioangamia na kupata vilema ni hasara mbaya sana kwa Urusi. Hakuna faida yeyote ya vita hii kwao. Ni vile tu hakuna kuhojiwa huko. Ni absolute dictatorship.

Urusi ni nchi ya wazungu lakini inayotawaliwa kiafrika - kwa utashi wa mtu mmoja!
Ila yenye maendeleo kuzidi nchi zote za Africa na nyingi za ULAYA AMERKA ASIA nk
Kheri udikteta wa RUSSIA [emoji635] kuliko demoghasia yenu huko Bara la giza njaa na migogoro isio na kikomo na kukoma
 
Kwa Ukraine hakuna namna ingine zaidi ya kupigana hadi Urusi iondoe majeshi yake ya uvamizi katika nchi yao. Period. It is an existential objective for Ukraine. Vita itaisha pale Urusi watakapopata akili na kuondoa majeshi yao toka Ukraine.

Putin ameongea mengi lakini kubwa zaidi anadai Ukraine ni sehemu rasmi ya Urusi, haiwezi kutenganishwa. Anachotaka ni Ukraine itawaliwe na Urusi kama ilivyokuwa enzi za himaya ya Urusi (Russian Empire). Anataka kuitengua kimabavu michakato yote ya kihistoria iliyopelekea uhuru wa Ukraine. Hayo ni mawazo ya kizamani sana. Mawazo ya kijima. Hayawezi kukubalika. Hakuna namna, inabidi vita iendelee hadi akili zimkae sawa autocrat Putin.
Kama mnadhani majeshi yatatolewa poleni sanaaaaa
 
Aendelee kupambana mpaka nchi yake itakapoharibika kabisa
Dunia iliyoendelea, gharama wanayoiogopa sana ni vifo vya watu wao; sio mali. Angalia Hiroshima na Nagasaki za Septemba 1945 na za leo. Ndio maana Marekani hawawezi kutoa msaada wa “boots on the ground” lakini wanaimwagia Ukraine mabilioni ya dola ya silaha na misaada mingine bila kuchoka.

Hii vita itapigwa hadi mwisho na Ukraine itajengwa upya kwa viwango vya uhakika sisi tukibakia na slums zetu tulizozizoea huku tukiendelea kushabikia madikteta aina ya Putin. Somo litakuwa limekamilika hata kama halitaeleweka.
 
Kushabikia ama Kutoshabikia Hilo wewe ndio umesema
Kama unadhania kwamba wewe tu ndio unajua kuhusiana na gharama ila RUSSIA [emoji635] wao hawajui nikupe pole kubwa mnoooooo
Hata RUSSIA [emoji635] anajua kupeleka full force yake kwa ground nikhatari kwake ndio Maana anatumia taasisi kama ya Wagner au TARIMO alikua RAIA wa RUSSIA [emoji635] yule
Hesabu mnazoziwaza RUSSIA [emoji635] waliishazipiga big time kama mnadhania hawakua wanayajua haya poleni sana
Hii SMO hata ipiganwe miaka mia basi musahau RUSSIA [emoji635] kushindwa tena ondoeni hayo mawazo

Mwisho wapenda Amani haki namaendeleo ya Dunia tunasimama na Russia [emoji635]
 
Awaige waarabu na Wapersia....wameona ujinga kugombanishwa na western countries...wakutane waruss na Waukraine....wazungumze kama ndugu, waweke tofauti zao pembeni, wasamehane.....maisha yaanze..kila mtu aseme anashida gani...Kama Iran na Saudia wameelewana...wapate funzo..
 
Ungekuwa raia wa Ukraine na hakuna namna kabisa unaweza kuondoka nchini mwako katika hali yoyote ungemshauri au ungemtaka Zelenskyy kama Rais wako afanye nini kuhusu uvamizi wa Urusi kwa maslahi mapana ya nchi yako?
Nimshaur???

Kwa hatua iliyofikwa hawez pata bahat ya kushauriwa

Ni kumpiga chepe la kichwa tu ili iwe fundisho kwa viongoz wanaofanya maamuz kwa kutafuta sifa bila kuzingatia maslah mapana ya nchi
 
Nimshaur???

Kwa hatua iliyofikwa hawez pata bahat ya kushauriwa

Ni kumpiga chepe la kichwa tu ili iwe fundisho kwa viongoz wanaofanya maamuz kwa kutafuta sifa bila kuzingatia maslah mapana ya nchi
Ni maamuzi gani aliyofanya Zelenskyy kwa kutafuta sifa na sio maslahi mapana ya taifa lake??
 
Ni maamuzi gani aliyofanya Zelenskyy kwa kutafuta sifa na sio maslahi mapana ya taifa lake??
Ya kujaribu kuutikisa mbuyu ilhali anajua fika kuwa maamuz hayo yangewagharimu pakubwa wananchi wa kipato cha chini
 
Ya kujaribu kuutikisa mbuyu ilhali anajua fika kuwa maamuz hayo yangewagharimu pakubwa wananchi wa kipato cha chini
Alijaribu vipi kuutikisa mbuyu? Alifanya nini hasa??
 
Awaige waarabu na Wapersia....wameona ujinga kugombanishwa na western countries...wakutane waruss na Waukraine....wazungumze kama ndugu, waweke tofauti zao pembeni, wasamehane.....maisha yaanze..kila mtu aseme anashida gani...Kama Iran na Saudia wameelewana...wapate funzo..
Iran na Saudi Arabia waligombanishwa katika jambo gani na nani?

Hakuna uhusiano wa kimataifa ulio wa kindugu duniani, uhusiano wowote wa kimataifa ni maslahi, utamaduni na historia.

Madai ya Urusi kwa Ukraine ni yapi ili wasitishe uvamizi na waweze kuzungumza?
 
Alijaribu vipi kuutikisa mbuyu? Alifanya nini hasa??
Dizain unanifanyia oral exam
JamiiForums790734876.jpg
 
Wale waukraine(wananchi) ni tatizo,waligomea bidhaa za Urusi , Zelensky akiwaongoza kufanya hivyo.

Halikuwatosha Hilo,wakamwondoa Kwa maandamano kiongozi wanaedai ni kibaraka wa Urusi.

Nimekupa hii mifano uone tatizo ni Zelensky au wananchi.

Sasa hao wananchi wanaotaka Shari,watamshauri Nini?
Maandamano ya wanaoitwa wananchi yalikuwa instigated na ...
Unamjua Victoria Nuland?
Alikuwa anagawa nini kwa waandamanaji?
Alirekodiwa anaongea nini na nani?
Unaijua social engineering?
Unajua PSY-OPS ni kitu gani?
Unajua hisia za watu dhidi ya mtu au watu au vitu fulani zinatengenezwa kisayansi na binadamu anayekusudia jambo flani?

Mambo yanayo endelea Ukraine na sehemu nyingi duniani siyo mepesi kama watu wengi wa kawaida tunavyo fikiria.
Unajua mapinduzi ya viongozi wengi wa Afrika Magharibi na kati yametekelezwa na nani? Hao watu walipata mafunzo wapi? Umemsikia kiongozi gani mkubwa wa nchi ... alivyo sifia nchi yake kuzalisha au wapinduaji wa serikali kwenye vyuo vyao vya kijeshi?
 
Wale waukraine(wananchi) ni tatizo,waligomea bidhaa za Urusi , Zelensky akiwaongoza kufanya hivyo.

Halikuwatosha Hilo,wakamwondoa Kwa maandamano kiongozi wanaedai ni kibaraka wa Urusi.

Nimekupa hii mifano uone tatizo ni Zelensky au wananchi.

Sasa hao wananchi wanaotaka Shari,watamshauri Nini?
Kwamba ni lzm waukraine watumie bidhaa za Urusi au ni lzm Kiongoz wa Ukraine wa Urusi apende na serikali ya Urusi ? mbona hayo majibu yanaonesha waukraine ni watu smart ila nyiny ndo mnawataka wawe kama wadanganyika
 
Ungekuwa raia wa Ukraine na hakuna namna kabisa unaweza kuondoka nchini mwako katika hali yoyote ungemshauri au ungemtaka Zelenskyy kama Rais wako afanye nini kuhusu uvamizi wa Urusi kwa maslahi mapana ya nchi yako?
Kwani Urusi ana madai gani yalimlazimu kuivamia Ukraine na kuteka maeneo ya Ukraine na kuwaua waukraine wasio na hatia mpaka Zelesky akae nae kwa mazungumzo
 
Back
Top Bottom