Kwa uwezo upi alionao ?Tena ndani ya masaa 72
Kwa uwezo upi alionao ?Tena ndani ya masaa 72
Mkuu hongera!Hii ni moja ya mchango ulioangazia uhalisia wa mgogoro wenyewe kuwahi kuuona humu jukwaani.Russia msimamo wao ni kuwa "hakuna maana ya dunia kuwepo kama Russia haipo". Hawa ni watu wasio na cha kupoteza. Bora mfe wote na wao ili mkose wote. Ni watu waliokata tamaa. Hakuna jinsi utamsinda umdhalilishe. Atakufa na wewe.
Cha muhimu Zelensky akae chini waelewane. Hii vita hawezi kushinda. Na NATO hawatakubali kushindwa, mwishowe Ukraini itakuwa sehemu isiyofaa kuishi wanadamu. Atakuwa amefanikiwa nini?
Russia msimamo wao ni kuwa "hakuna maana ya dunia kuwepo kama Russia haipo". Hawa ni watu wasio na cha kupoteza. Bora mfe wote na wao ili mkose wote. Ni watu waliokata tamaa. Hakuna jinsi utamsinda umdhalilishe. Atakufa na wewe.
Cha muhimu Zelensky akae chini waelewane. Hii vita hawezi kushinda. Na NATO hawatakubali kushindwa, mwishowe Ukraini itakuwa sehemu isiyofaa kuishi wanadamu. Atakuwa amefanikiwa nini?
hayo madai ni wewe tu ndo huyajui....Tatizo madai yao kwa Ukraine mpaka sasa hayajaeleweka au hayako consistent. Haijulikani wanataka nini hasa kwa Ukraine ili wasitishe vita. Huo ndio ugumu mwingine.
Akae chini na jambazi aliyevemia taifa lako ili apore maeneo ya nchi yakoakae chini na Putin wamalize vita
Kwa hiyo taifa moja linaweza kuipangia taifa jingine mipaka ya ndani ya uhuru wakeUhuru una mipaka yake.
Unaharibu vipi nchi Yako Kwa faida ya nchi nyingine?Anawaridhisha US katika mambo gani?
Kwa madai haya ina maana suluhu haitakaa ipatikane Putin akiwa madarakani. Watakuwa wana cease fire kwa muda tu mpaka aje kiongozi mwingine asiye na hizi ndoto au Ukraine yote iangukie mikononi mwa Urusi au Urusi yenyewe ivunike na kusambaratika.Kwa Ukraine hakuna namna ingine zaidi ya kupigana hadi Urusi iondoe majeshi yake ya uvamizi katika nchi yao. Period. It is an existential objective for Ukraine. Vita itaisha pale Urusi watakapopata akili na kuondoa majeshi yao toka Ukraine.
Putin ameongea mengi lakini kubwa zaidi anadai Ukraine ni sehemu rasmi ya Urusi, haiwezi kutenganishwa. Anachotaka ni Ukraine itawaliwe na Urusi kama ilivyokuwa enzi za himaya ya Urusi (Russian Empire). Anataka kuitengua kimabavu michakato yote ya kihistoria iliyopelekea uhuru wa Ukraine. Hayo ni mawazo ya kizamani sana. Mawazo ya kijima. Hayawezi kukubalika. Hakuna namna, inabidi vita iendelee hadi akili zimkae sawa autocrat Putin.
Ungekuwa raia wa Ukraine na hakuna namna kabisa unaweza kuondoka nchini mwako katika hali yoyote ungemshauri au ungemtaka Zelenskyy kama Rais wako afanye nini kuhusu uvamizi wa Urusi kwa maslahi mapana ya nchi yako?
Sawa. Isipokuwa matarajio si Ukraine kuchukuliwa na Urusi (kumbuka vitisho mbuzi vya masaa 24 pale mwanzo), wala si Urusi isambaratike. Bila shaka Putin kuondoka ni jambo la heri sana hata kwa Urusi yenyewe. Maelfu ya wapiganaji wake walioangamia na kupata vilema ni hasara mbaya sana kwa Urusi. Hakuna faida yeyote ya vita hii kwao. Ni vile tu hakuna kuhojiwa huko. Ni absolute dictatorship.Kwa madai haya ina maana suluhu haitakaa ipatikane Putin akiwa madarakani. Watakuwa wana cease fire kwa muda tu mpaka aje kiongozi mwingine asiye na hizi ndoto au Ukraine yote iangukie mikononi mwa Urusi au Urusi yenyewe ivunike na kusambaratika.
endeleeni kuotaAkae chini na jambazi aliyevemia taifa lako ili apore maeneo ya nchi yako
Jambazi ameingia chumbani kwako keshambaka mkeo anataka kukubaka na ww ungefanyaje?Ungekuwa raia wa Ukraine na hakuna namna kabisa unaweza kuondoka nchini mwako katika hali yoyote ungemshauri au ungemtaka Zelenskyy kama Rais wako afanye nini kuhusu uvamizi wa Urusi kwa maslahi mapana ya nchi yako?
Mbona watu wanaishi kila siku?Russia msimamo wao ni kuwa "hakuna maana ya dunia kuwepo kama Russia haipo". Hawa ni watu wasio na cha kupoteza. Bora mfe wote na wao ili mkose wote. Ni watu waliokata tamaa. Hakuna jinsi utamsinda umdhalilishe. Atakufa na wewe.
Cha muhimu Zelensky akae chini waelewane. Hii vita hawezi kushinda. Na NATO hawatakubali kushindwa, mwishowe Ukraini itakuwa sehemu isiyofaa kuishi wanadamu. Atakuwa amefanikiwa nini?
Ndio linaweza ikiwa na nguvu na likiamuaKwa hiyo taifa moja linaweza kuipangia taifa jingine mipaka ya ndani ya uhuru wake