Zelenskyy ashauriwe kwa manufaa ya Ukraine

Zelenskyy ashauriwe kwa manufaa ya Ukraine

Ukiwafikiria wanawake na watoto ni vizur wakayamaliza

Lakin mwanaume huwa hakubal kuonewa ni bora kufa
 
Maandamano ya wanaoitwa wananchi yalikuwa instigated na ...
Unamjua Victoria Nuland?
Alikuwa anagawa nini kwa waandamanaji?
Alirekodiwa anaongea nini na nani?
Unaijua social engineering?
Unajua PSY-OPS ni kitu gani?
Unajua hisia za watu dhidi ya mtu au watu au vitu fulani zinatengenezwa kisayansi na binadamu anayekusudia jambo flani?

Mambo yanayo endelea Ukraine na sehemu nyingi duniani siyo mepesi kama watu wengi wa kawaida tunavyo fikiria.
Unajua mapinduzi ya viongozi wengi wa Afrika Magharibi na kati yametekelezwa na nani? Hao watu walipata mafunzo wapi? Umemsikia kiongozi gani mkubwa wa nchi ... alivyo sifia nchi yake kuzalisha au wapinduaji wa serikali kwenye vyuo vyao vya kijeshi?
Victoria Nuland ni nani?
Alikuwa anagawa nini kwa waandamanaji?
Alirekodiwa anaongea nini na nani na lini kuhusiana na Ukraine?
 
Wale waukraine(wananchi) ni tatizo,waligomea bidhaa za Urusi , Zelensky akiwaongoza kufanya hivyo.

Halikuwatosha Hilo,wakamwondoa Kwa maandamano kiongozi wanaedai ni kibaraka wa Urusi.

Nimekupa hii mifano uone tatizo ni Zelensky au wananchi.

Sasa hao wananchi wanaotaka Shari,watamshauri Nini?
Wacha wapate wanachotaka.
 
Russia msimamo wao ni kuwa "hakuna maana ya dunia kuwepo kama Russia haipo". Hawa ni watu wasio na cha kupoteza. Bora mfe wote na wao ili mkose wote. Ni watu waliokata tamaa. Hakuna jinsi utamsinda umdhalilishe. Atakufa na wewe.

Cha muhimu Zelensky akae chini waelewane. Hii vita hawezi kushinda. Na NATO hawatakubali kushindwa, mwishowe Ukraini itakuwa sehemu isiyofaa kuishi wanadamu. Atakuwa amefanikiwa nini?
Hii Sasa ni HATARI!
Ningemshauri akae na Shujaa wa Urusi wayajenge,
 
Kwa Ukraine hakuna namna ingine zaidi ya kupigana hadi Urusi iondoe majeshi yake ya uvamizi katika nchi yao. Period. It is an existential objective for Ukraine. Vita itaisha pale Urusi watakapopata akili na kuondoa majeshi yao toka Ukraine.

Putin ameongea mengi lakini kubwa zaidi anadai Ukraine ni sehemu rasmi ya Urusi, haiwezi kutenganishwa. Anachotaka ni Ukraine itawaliwe na Urusi kama ilivyokuwa enzi za himaya ya Urusi (Russian Empire). Anataka kuitengua kimabavu michakato yote ya kihistoria iliyopelekea uhuru wa Ukraine. Hayo ni mawazo ya kizamani sana. Mawazo ya kijima. Hayawezi kukubalika. Hakuna namna, inabidi vita iendelee hadi akili zimkae sawa autocrat Putin.
Sasa unadhani Nato, America na Ukraine watashinda? Wataporomosha Uchumi wao bure, bali tu wakae mezani.
 
Kwamba ni lzm waukraine watumie bidhaa za Urusi au ni lzm Kiongoz wa Ukraine wa Urusi apende na serikali ya Urusi ? mbona hayo majibu yanaonesha waukraine ni watu smart ila nyiny ndo mnawataka wawe kama wadanganyika
Ukiwatazama waukraine ni smart kama unavyosema,na ni haki Yao kuchagua Nini Cha kufanya bila kupangiwa na mwingine.

Hebu Sasa tuone hicho wanacholilia.

Afrika Kuna nchi inajenga bwawa kuubwa,Ujenzi wa Hilo bwawa litasababisha nchi mbili kukosa au kupata maji pungufu kutakosababisha madhara Kwa nchi hizo.
Hizo nchi mbili zimeapa kushika fimbo za kutosha kama anavyofanya Putin,ikiwa hawatosikilizwa na hiyo nchi.

Putin hataki kuwa karibu na NATO, USA wamepakana nae,hii nchi nyingine imejiunga juzi kati na NATO ndo balaa zaidi,inampaka mrefu na Putin.
Unajua Nini akatachokifanya Putin?,,,,endelea kubakia hapa hapa Jf.
 
Kushabikia ama Kutoshabikia Hilo wewe ndio umesema
Kama unadhania kwamba wewe tu ndio unajua kuhusiana na gharama ila RUSSIA [emoji635] wao hawajui nikupe pole kubwa mnoooooo
Hata RUSSIA [emoji635] anajua kupeleka full force yake kwa ground nikhatari kwake ndio Maana anatumia taasisi kama ya Wagner au TARIMO alikua RAIA wa RUSSIA [emoji635] yule
Hesabu mnazoziwaza RUSSIA [emoji635] waliishazipiga big time kama mnadhania hawakua wanayajua haya poleni sana
Hii SMO hata ipiganwe miaka mia basi musahau RUSSIA [emoji635] kushindwa tena ondoeni hayo mawazo

Mwisho wapenda Amani haki namaendeleo ya Dunia tunasimama na Russia [emoji635]
Mm nasimama na Russia na China. Walitusaidia Africa kutoka ktk utumwa wa Mjerumani na Mwingereza hasa East Africa. Hao wamagharibi waliobaka mababu zetu, kutunuonya rasilimari zetu na wakati huu wanataka tuwe mabahasha, mashoga na wasagaji na wakati tumekatazwa na muhumbaji wetu, ni sumu kwangu. Wacha na wao wafe na Mungu atasimama na Russia.
 
Mkuu upo mbali sana na uhalisia. Ila tuombe Mungu Putin aendelee kuwa hai na Zelensky anag'atuke. Otherwise tutaona mambo ya kutisha na hii vita haitaisha.

Huwezi kuielewa hii vita kama hujui historia ya Urusi na mfumo bepari wa magharibi. Hii ni vita kati ya historia na ubepari.
 
Zelensky wewe ni shujaa, Russia hawezi kupora Crimea umuachie kisha atake apore na nchi yote aachiwe.

Vita si lelemama, atasikia mengi na kuona mengi ila endelea kupambana kijana.
Una uhakika Crimea ni ya Ukrain mkuu?
 
Wanajamii forums wengi wana ufahamu mdogo,huwa naangalia napitaga tyu,nacheka tu
Ilikuaje ukaja kuwaomba wakutafutie kazi ilihali wanaufahamu mdogo Wana jf?
Screenshot_20230521-155110.jpg
 
Tena ndani ya masaa 72
Masaa 72 maana yake ni miaka 3 ktk tasnia ya ya OP yoyote duniani,(ref:20yrs ya mmarekani huko asia) ikishindikana kuisha ndani ya miaka mitatu hesabu miaka 30, na ndani ya miaka hyo 30 tayari Teenager wa Donbas watakua makanali wa jeshi...unahisi mtoto wa zelensky atafanywa nini?
 
Tutasimama na [emoji635] Russian hadi eukrane yote iwe chini ya Russian ili kuwe na balance of power, inaboaa kuwa na Dunia inayojaa mashoga..Russian wakishinda hii SMO Dunia itakuwa mahala salamaa sana
 
Wakati Ukraine kwao wimbo wa taifa unaimbwa au?
 
Urusi na China hawajasaidia nchi yoyote ya Africa Mashariki kupata uhuru wake.
Mm nasimama na Russia na China. Walitusaidia Africa kutoka ktk utumwa wa Mjerumani na Mwingereza hasa East Africa. Hao wamagharibi waliobaka mababu zetu, kutunuonya rasilimari zetu na wakati huu wanataka tuwe mabahasha, mashoga na wasagaji na wakati tumekatazwa na muhumbaji wetu, ni sumu kwangu. Wacha na wao wafe na Mungu atasimama na Russia.
 
Mkuu upo mbali sana na uhalisia. Ila tuombe Mungu Putin aendelee kuwa hai na Zelensky anag'atuke. Otherwise tutaona mambo ya kutisha na hii vita haitaisha.

Huwezi kuielewa hii vita kama hujui historia ya Urusi na mfumo bepari wa magharibi. Hii ni vita kati ya historia na ubepari.
Urusi iliivamia Ukraine na kuipora Crimea mwama 2014, Zelenskyy hakuwa Rais wakati huo. Kwa nini huoni tatizo ni Putin na una uhakika gani kwamba Zelenskyy akiondoka madarakani Urusi haitaivamia Ukraine tena??
 
Tutasimama na [emoji635] Russian hadi eukrane yote iwe chini ya Russian ili kuwe na balance of power, inaboaa kuwa na Dunia inayojaa mashoga..Russian wakishinda hii SMO Dunia itakuwa mahala salamaa sana
Una uhakika Urusi ikishinda huko Ukraine mashoga wataisha au kupungua duniani??
 
Back
Top Bottom