Zelenskyy ashauriwe kwa manufaa ya Ukraine

Zelenskyy ashauriwe kwa manufaa ya Ukraine

Sasa unadhani Nato, America na Ukraine watashinda? Wataporomosha Uchumi wao bure, bali tu wakae mezani.
Uchumi wa Marekani uporomoke kwa vita hii? Not a chance. Kwanza ujue Marekani imepata bahati sana kupata wapiganaji mahiri (Ukraine) wa kumtikisa Mrusi bila kutumia askari wake yenyewe. Marekani kutoa silaha na pesa kwake kwa proxy sio tatizo. Watahakikisha Mrusi anapata tabu hadi ananyosha mikono juu.
 
Russia msimamo wao ni kuwa "hakuna maana ya dunia kuwepo kama Russia haipo". Hawa ni watu wasio na cha kupoteza. Bora mfe wote na wao ili mkose wote. Ni watu waliokata tamaa. Hakuna jinsi utamsinda umdhalilishe. Atakufa na wewe.

Cha muhimu Zelensky akae chini waelewane. Hii vita hawezi kushinda. Na NATO hawatakubali kushindwa, mwishowe Ukraini itakuwa sehemu isiyofaa kuishi wanadamu. Atakuwa amefanikiwa nini?
Comment Bora kabisa Uzi huu[emoji106][emoji1431]
 
Uchumi wa Marekani uporomoke kwa vita hii? Not a chance. Kwanza ujue Marekani imepata bahati sana kupata wapiganaji mahiri (Ukraine) wa kumtikisa Mrusi bila kutumia askari wake yenyewe. Marekani kutoa silaha na pesa kwake kwa proxy sio tatizo. Watahakikisha Mrusi anapata tabu hadi ananyosha mikono juu.
ni wewe unae ropoka hivo ...
Screenshot_20230522-165900.jpg
 
Urusi iliivamia Ukraine na kuipora Crimea mwama 2014, Zelenskyy hakuwa Rais wakati huo. Kwa nini huoni tatizo ni Putin na una uhakika gani kwamba Zelenskyy akiondoka madarakani Urusi haitaivamia Ukraine tena??
Actually atakuja kiongozi mwenye mtizamo tofauti na Zelensky! Urusi hana interest yoyote Ukraine zaidi ya kulinda historia yake.
 
Back
Top Bottom