should i direct u somewhere?
as so far nakujua wewe kama strong man!!
this girls are available
kan'tangaze sema ukifanikiwa lazma umshawishi abadili jina.
tumboo like wise
na Red Scorpion...
to handle one of them is possible but not with that names...
Hahaaaa mkwe mawazo yetu yamegongana
khaaaa! Mkuu do you hate me or smth..?
their names wanna make me puke..(joke)
'em angalia tena mkuu..waweza nipatia mke mwema aisee..!
Lakini sitaki aloachika, wameachika wengi sana humu...!
Eeeh kwani sabuni ile kwamba itakuwa imeisha?
Kama kuchepuka Alianza kuchepuka mama yetu mzazi! Mimi na mwallu na Honey Faith na Yule mcharuko wa Viol Yani Heaven Sent ni weusi tiiii! Lkn wewe tu Ndio uliozaliwa MUHINDI !!!!!
???????
Sasa kelele zote za nini ata dada yangu Heaven Sent hujamvisha Pete?
Yani hili ni zumbukuku ulimwengu upo huku. Sijui hilo lichana mbao lilimpa limbwata la lile kinyama? Yani halielewi machweo wala mawio. How on earth could u insult ur own mom like this? Nipo kwa bibi kalimbwana nao, huyo mchana mbao ajiandae tu kutoka hapo. Jitu limemzidi umri lipo huko 40+, mitoto mitatu kamkuta nayo but still kaka haelewi eeeeh this woman enchanted u. But her days are numbered. Idiot
Povu madam povu...
Eeeh kwani sabuni ile kwamba itakuwa imeisha?
Pole sweet heart. ..kaka kalishwa limbwata mpaka basi
Tumpe muda..kaka zetu wengine sijui wako wapi..duhI see cc mwallu ntuzu kageuka yuda kisa love i wonder
Usijali mdogo wangu...tutarekebisha hili. .kaka kazidiwa na mahabaYaani mdogo wangu kazi ipo hapa
Yani nadhani nimeishatangazwa huko hadi basi.Hadi nimeanza kuona aibu yani huyu kaka basi tu!!!
Namlaumu Khantwe hapa
I love youhahahaha na bado mahaba yatakuvuruga hadi urudi peku home
Kaka kaka kakaHahaaaaaa dua la Kuku Hilo! Na home sirudi kabisa ata km tukitengana!
Calm down darl...our kaka is blindly in loveYani hili ni zumbukuku ulimwengu upo huku. Sijui hilo lichana mbao lilimpa limbwata la lile kinyama? Yani halielewi machweo wala mawio. How on earth could u insult ur own mom like this? Nipo kwa bibi kalimbwana nao, huyo mchana mbao ajiandae tu kutoka hapo. Jitu limemzidi umri lipo huko 40+, mitoto mitatu kamkuta nayo but still kaka haelewi eeeeh this woman enchanted u. But her days are numbered. Idiot
Povu madam povu...
Punguza limbwata wii....unaona sasa
should i direct u somewhere?
as so far nakujua wewe kama strong man!!
this girls are available
kan'tangaze sema ukifanikiwa lazma umshawishi abadili jina.
tumboo like wise
na Red Scorpion...
to handle one of them is possible but not with that names...
Komaaaa sijakutaja jina, naona unatafuta kick kupitia sisi eeh. Majinuni wahed weee msonyooooooooooo