Aunt nani baba yetu sasa?
tunachongeana?
baba nakulindia, mtt mzuri ni yule anaekupa taarifa za mjomba kuja jana usiku wakt wewe ukiwa safari..
Sawa tu kaka
Ashani ban kwenye utoaji jina aseehata jina usimpe watunge wenyewe
Twakupenda kweli yani
Kaka usimwage mtama kwenye kuku wengiMtasema sn Lkn kunibandua kwa wifi yenu hamtoweza!
Na Huyo Honey Faith namuangalia tu! Juzi tu alikuja kwangu kadundwa na kamme kake hakampi ata matumizi nikampa ATM card yangu moja awe anachota pesa Kutoka GGM
Nisha give up siku nyingi mnooWanasema waswahili wa pemba wanajuana kwa vilemba sie tuwaache siku ya siku itajulikanika tu ipi ni mbichi na ipi ni mbivu
Mtasema sn Lkn kunibandua kwa wifi yenu hamtoweza!
Na Huyo Honey Faith namuangalia tu! Juzi tu alikuja kwangu kadundwa na kamme kake hakampi ata matumizi nikampa ATM card yangu moja awe anachota pesa Kutoka GGM
Unamchonganisha bimkubwa na mdingi me sipendi...
baba yenu alikuwaga mkimbizi kutoka rwanda karudi kwao
Kz ya ulinzi ujipe weye na kutoa taarifa utoe wewe mwenyewe?!!!! Mke wangu halindwi bhana!
baba yenu alikuwaga mkimbizi kutoka rwanda karudi kwao
Yaani mdogo wangu kazi ipo hapa
Kama kuchepuka Alianza kuchepuka mama yetu mzazi! Mimi na mwallu na Honey Faith na Yule mcharuko wa Viol Yani Heaven Sent ni weusi tiiii! Lkn wewe tu Ndio uliozaliwa MUHINDI !!!!!
Dady yule aunt mdogo asema baba yetu mkimbizi ya kweli hayoo....