First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,485
Marihaba binti yangu, mama yako mzima kabisa!
Alafu Yule shemeji yako First Born nataka nimuonye maana simuelewi? Kutwa kumfatafata mama yenu?
Mmeona eeeh mie siku hizi nawaangalia tu.
Marihaba binti yangu, mama yako mzima kabisa!
Alafu Yule shemeji yako First Born nataka nimuonye maana simuelewi? Kutwa kumfatafata mama yenu?
sasa mzee adhabu zingine sizo.... shikamoo
Mwenyewe simwelewe hata ile heshima ya mkwe haipo, nadhani hamwoni mwenzie@mwanyasi akimwona mama mkwe anapita mbali wanakutana katika matukio maalumu..
Mtabaki na vijiba vya roho mke wangu Khantwe simuachi ng'ooooo
Tena km wewe kadogo ketu miss neddy uache kabisa kunifatilia anga zangu! Mke wangu katulia hajui kuchepuka Alafu wewe unaleta umbeya hapa?
Alafu mwallu jiandae kuna kutoa jina wifi yako yuko karibu kupata mtoto wa tatu!
Wewe ulipokuja kumuoa romantic eyes ni nani aliekukabidhi? Sasa iweje Leo
Ujiunge na UKAWA kumtafuta baba yako mkwe? Mrudishe kwanza binti yangu home!
naomba mtu anieleweshe kwanza.....
Mie jina nitatoa tuu...sina tatizo. Ila sina uhakika biological father atakua Viol Zekidoni au wewe...cc Khantwe. Honey Faith miss neddy
Mie jina nitatoa tuu...sina tatizo. Ila sina uhakika biological father atakua Viol Zekidoni au wewe...cc Khantwe. Honey Faith miss neddy
yaishe bhana ninaanza kuwa in law mzuri kuanzia sasa..
Hatuna la kufanya zaidi mdogo wangu
gahahaha watoto wote umebambikiwa lol