First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,485
Mke wangu ndio maana nakupenda
Kwahiyo mnapokezana
Red Scorpion kuna mtoto anaitwa valentine hebu ongea naye
Mmeamkaje Leo,nimeamka mchovu maana game ya jana na shemeji yenu Heaven Sent ilikiwa nzito
Asante kwa pendekezo mkuu, nalifanyia kazi!
usilifanyie kazi underground sasa..
isitoshe huyo 'Valentina' uliyependekezewa ana ujauzito wa miezi 6..
under the influence of paroko.. Eiyer mtumishi wa Roma
napenda ukicheka honeyHahahaaaa duuh hakyanani....