shem.... unanishitaki?
nambie tabibu wa roho yangu...
kweli....?
vyovyote bhana.. na mkeo Dena Amsi utampelekea sweet wine.. robartson
nimekasirika mie
hahahaaaa.... hicho kijiji noma.Nitumie mawasiliano bana maana mimi sitaki kumtafuta mtu kama mwanakijiji au tuko kijijini Hungumalwa bana
nimeona bora nimwambie mdogo wangu maana ndo ndugu yangu...
mkuu hakuna usaliti hapa
akinuna ndo furaha yako?
hahahaaaa.... hicho kijiji noma.
unataka kumruhusu shetani aingilie ndoa yetu kesho watuwekee thread?
unataka kumruhusu shetani aingilie ndoa yetu kesho watuwekee thread?
hahahaaaaa piga magoti mkemee huyo shetani ashindwe kabisa...
namfanyia mgomo hadi awe anawaheshimu daddy na mummy
msamehe mamii wangu tumemsema akiendelea ndo umfanyie mgomo...
msamehe mamii wangu tumemsema akiendelea ndo umfanyie mgomo...
Mke wangu ndio maana nakupenda