Zanzibar kampeni siku 1 tu inatosha!Kamati ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemfungia mgombea Urais wa @ACTwazalendo, Seif Sharif Hamad kutofanya kampeni kwa siku tano hadi Oktoba 20, 2020.
Chama cha Demokrasia Makini kiliwasilisha malalamiko kuwa mgombea huyo ameshawishi watu wapige kura Oktoba 27.
NEC hawana mamlaka hayo na wenyewe wanajua kuwa wanasumbuka, Mtu pekee mwenye mamlaka ya kumzuia maalimu asifanye kampeni ni Maalimu Seif pekee.Kamati ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemfungia mgombea Urais wa @ACTwazalendo, Seif Sharif Hamad kutofanya kampeni kwa siku tano hadi Oktoba 20, 2020.
Chama cha Demokrasia Makini kiliwasilisha malalamiko kuwa mgombea huyo ameshawishi watu wapige kura Oktoba 27.
Endeleeni kuvunja sheria/kanuni, lazima aubebe msalaba wake, haiangaliwi sura ya mtu, mpaka muwe na nidhamuUoga ni aibu kubwa sana !
Kamati ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemfungia mgombea Urais wa @ACTwazalendo, Seif Sharif Hamad kutofanya kampeni kwa siku tano hadi Oktoba 20, 2020.
Chama cha Demokrasia Makini kiliwasilisha malalamiko kuwa mgombea huyo ameshawishi watu wapige kura Oktoba 27.
Tutapiga kura tareh 27 msitusumbueAngefutwa kabisa
Kushawishi watu wakapige kura sambamba nabVikosi vya ulinzi tofauti na Utaratibu ni kunajisi zoezi zima la Uchaguzi, Anyimwe Urais kama alivyonyimwa 2015 kwa kimbelembele chake cha kujitangaza kabla ya muda
Vyama mamluki vinatumika, MaCCM ndiyo yameandika barua kwa tume,ndipo yakaona mgombea aliye mnyonge yakamtuma.Hivi kwa nini somo kali lisitolewe kwa hivi vyama mamluki?
Kamati ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemfungia mgombea Urais wa @ACTwazalendo, Seif Sharif Hamad kutofanya kampeni kwa siku tano hadi Oktoba 20, 2020.
Chama cha Demokrasia Makini kiliwasilisha malalamiko kuwa mgombea huyo ameshawishi watu wapige kura Oktoba 27.
Kwa haya maamuzi wanawapigia campaign bila wao kujua .Zanzibar kampeni siku 1 tu inatosha!
Kessy alisema ukipiga filimbi nchi nzima inasikia.
Huu upumbavu wa neno kimbelembele ndiyo imepelekea CCM kujiona kuwa wapo sahihi kwa kila ujinga wenu maana kila anayekataa upumbavu wenu mnaona ana kimbelembekeAngefutwa kabisa