Zanzibar 2020 ZEC yamfungia mgombea Urais wa ACT Wazalendo Maalim Seif kufanya kampeni kwa siku 5

Kamati ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemfungia mgombea Urais wa @ACTwazalendo, Seif Sharif Hamad kutofanya kampeni kwa siku tano hadi Oktoba 20, 2020.

Chama cha Demokrasia Makini kiliwasilisha malalamiko kuwa mgombea huyo ameshawishi watu wapige kura Oktoba 27.
Kweli zecnecpolisimsajili mwaka huu mnakazi kwelikweli.
 
Kamati ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemfungia mgombea Urais wa @ACTwazalendo, Seif Sharif Hamad kutofanya kampeni kwa siku tano hadi Oktoba 20, 2020.

Chama cha Demokrasia Makini kiliwasilisha malalamiko kuwa mgombea huyo ameshawishi watu wapige kura Oktoba 27.

Naona wanaofungiwa ni upinzani tu! Walio enguliwa upinzani tu halafi kuna wanaosema tuna demokrasia!
Pascal Mayalla
 
Ila magufi ana misiasa ya oovyo sana.

Sema tu wabongo wana ustaraabu fulani.

Ana trigger kwa kila namna kuleta machafuko
Hizi mambo chaguzi za nyuma jamaa ni muoga bwm ndio alituletea mwanasiasa wa hovyo asiweza kujibu hoja yy in ubabe tu
 
Angefutwa kabisa

Kushawishi watu wakapige kura sambamba nabVikosi vya ulinzi tofauti na Utaratibu ni kunajisi zoezi zima la Uchaguzi, Anyimwe Urais kama alivyonyimwa 2015 kwa kimbelembele chake cha kujitangaza kabla ya muda
Hahahahaah wambie wajaribu mkuu.
 
Angefutwa kabisa

Kushawishi watu wakapige kura sambamba nabVikosi vya ulinzi tofauti na Utaratibu ni kunajisi zoezi zima la Uchaguzi, Anyimwe Urais kama alivyonyimwa 2015 kwa kimbelembele chake cha kujitangaza kabla ya muda
Tumia akili yako japo kidogo tu. Kwa nchi kama ZNZ yenye watu 1.0 Milioni kwa nini wapigwe kura siku 2? Wakati Tanganyika yenye watu zaidi ya 55 Milioni wanachagua siku moja.

Maalim Seif yuko sawa, anataka wananchi wakalinde kura zao kwa vile ZEC imepanga kuingiza kura fake zioatazo 135,000 kwenye masanduku ya kura siku ya tarehe 27/10
 
Uchaguzi huu ni wa kimagufuli Kweli kweli. Nchi nzima tumekuwa washamba.
 
Zanzibar kampeni siku 1 tu inatosha!

Kessy alisema ukipiga filimbi nchi nzima inasikia.
Filimbi imepulizwa Zanzibar lakini CCM bara wameisikia na kuja kuongeza idadi :D

By the way Maalim alimaliza kampeni kabla ya shughuli za kampeni, tangu 1995 alimaliza tayari, saivi anatekeleza wajibu tu. Yaani ata asingeongea chochote mara hii, kura za wanzibari anazo za kumpa ushindi wa kishindo.
 
Hivi mbona yule mzee anapinga muungano dhahiri na yupo chama kinachoupa muungano kipaumbele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom