Zanzibar 2020 ZEC yamfungia mgombea Urais wa ACT Wazalendo Maalim Seif kufanya kampeni kwa siku 5

Vikaragosi vya CCM vinatumiwa kukwamisha harakati za ukombozi. Hata hivyo kitendo hiki kinachochea moto wa kujikomboa.
 
Mwaka huu utakumbukwa na vizazi vingi mno. Huku Lissu, kule Maalim Seif... Hakuna mlamba miguu ya mtu hapo
 
Tume ya ccm ya maadili sasa imejikita kuwafanyia kampeni chadema na ACT kwani adhabu zao zinazidi kuzidisha chuki kwa ccm, tuvyama kama TLP UDP na twenzao tuliopo kwenye hiyo kamati ni watumishi wa ccm
Hii tume ya ubaguzi lazima iadhibiwe mwishoni .
 
Tumeccm wameona eti hiyo ndio bonge ya strategy ya kuwabeba wagombea wa CCM , mapimbi kweli haya .
IMG_20201015_230621.jpg
IMG_20201015_230630.jpg
IMG_20201015_230653.jpg
IMG_20201015_230709.jpg
IMG_20201015_230659.jpg
 
Hii ilikuwa ni lazima ifanyike kwani isingewezekana CCM na Mgombea wake huko Dkt. Mwinyi ambaye hakubaliki na Wapemba akafanye Kampeni zake huko wakati Maalim Seif nae akiwepo kwani kuna uwezekano kama angewapata Watu wengi basi angekuwa ni Yeye, Mkewe, Walinzi na Madereva wake pekee.

Kumfungia huku sasa kutaweza kumfanya angalau Mgombea huyu Dkt. aende huko Pemba ili akafanye Kampeni zake ambazo nimetaarifiwa kuwa kutokana na 'Ubandidu' wa Wapemba kwa CCM imebidi na Dkt. Magufuli nae aende Kumsaidia pia japo ni pagumu.
 
Hii ilikuwa ni lazima ifanyike kwani isingewezekana CCM na Mgombea wake huko Dkt. Mwinyi ambaye hakubaliki na Wapemba akafanye Kampeni zake huko wakati Maalim Seif nae akiwepo kwani kuna uwezekano kama angewapata Watu wengi basi angekuwa ni Yeye, Mkewe, Walinzi na Madereva wake pekee. Kumfungia huku sasa kutaweza kumfanya angalau Mgombea huyu Dkt. aende huko Pemba ili akafanye Kampeni zake ambazo nimetaarifiwa kuwa kutokana na 'Ubandidu' wa Wapemba kwa CCM imebidi na Dkt. Magufuli nae aende Kumsaidia pia japo ni pagumu.
Msemakweli ambaye ni Mpenzi wa Mungu huwa yuko hivi, siyo yule mwingine anayempenda Mungu kinafiki. Penye ukweli sema kweli na kweli itakuweka huru.
 
Kama ZEC wangejua ubora basi wasingemfungia ,wamgewaachia ACT waendelee na kampeni,kumfungia hakumpunguzii kitu Maalim Seif wala ACT wazalendo au Chadema na Lisu,wamewasaidia kujipanga na kutumia hela ndogo waliyonayo ambayo ingetumika ndani ya siku hizo,kumalizia siku chache zilizobakia.

Unaweza ukalichukia jambo kumbe lina kheri na wewe,na ukalipenda jambo kumbe lina shari na wewe ,Hili jambo la kufungiwa wengi wamelichukia lakini hujui kumeepushwa shari ngapi walizozipanga CCM na vibaraka wao,Leo hii Lisu amezidi kuwayeyusha wananchi waliokuwa wanaiunga mkono CCM na sasa wanamuunga mkono kwa makundi,wameapa kuzipeleka kura zao kwa wagombea Chadema na ndio hivyohivyo kwa Zanzibar walioserikalini wote wameapa kuachana na CCM na liwalo na liwe kura zao zote kwa wagombea wa ACT.

Mwaka huu CCM atabakiwa na kura za wizi tu.
 
Angefutwa kabisa

Kushawishi watu wakapige kura sambamba na Vikosi vya ulinzi tofauti na Utaratibu ni kunajisi zoezi zima la Uchaguzi, Anyimwe Urais kama alivyonyimwa 2015 kwa kimbelembele chake cha kujitangaza kabla ya muda

Unabweka JF , waambie wajaribu
 
Unabweka JF , waambie wajaribu
Kishanyimwa urais tangi 1984 hadi leo
Kanyimwa 1984 akapewa Mzee Mwinyi, kanyimwa 1985 akapewa Mzee Idrisa, kanyimwa 1995 akapewa Dr Salmeen, kanyimwa 2000 na 2005 akapewa karume jr, kanyimaa tema 2010 na 2015 akapeaa Dr Shein mlifanya nn?
90% ya waliomnyima miaka yote bado wapo kazini, mnategemea muujiza gani this time?

Zingatia, 28 October 2020 ni siku ya kulinda Muungano na Mapinduzi ya 1964 sio vinginevyo
 
Kishanyimwa urais tangi 1984 hadi leo
Kanyimwa 1984 akapewa Mzee Mwinyi, kanyimwa 1985 akapewa Mzee Idrisa, kanyimwa 1995 akapewa Dr Salmeen, kanyimwa 2000 na 2005 akapewa karume jr, kanyimaa tema 2010 na 2015 akapeaa Dr Shein mlifanya nn?
90% ya waliomnyima miaka yote bado wapo kazini, mnategemea muujiza gani this time?

Zingatia, 28 October 2020 ni siku ya kulinda Muungano na Mapinduzi ya 1964 sio vinginevyo

Muungano wa wezi na majambazi hatuutaki

Nakuambia tena si mjaribu kumwondoa, mnaogopa kitu gani na kama ulivyosema alishanyimwa miaka mingi na haikuwa kitu

Ngonjera za nini ??
 
Mlisema 'haki'yenu ya ushindi ya 2015 mngepewa labla ya 2020
Muungano wa wezi na majambazi hatuutaki

Nakuambia tena si mjaribu kumwondoa, mnaogopa kitu gani na kama ulivyosema alishanyimwa miaka mingi na haikuwa kitu

Ngonjera za nini ??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom