zebra + donkey= Mpe jina, aitwe nani?

zebra + donkey= Mpe jina, aitwe nani?

Baada ya kuona picha ya huyo zonkey ikanikumbusha Kuna animated movie inaitwa “KHUMBA“ .

Mtoto wa pundamilia aliyezaliwa akiwa nusu pundamilia na nusu punda mizigo.

Itafute hio movie “KHUMBA“.
 
Back
Top Bottom