hahhahahhaha sasa wakuuu naona badala ya ze utamu awe roho juuu na agonized imehamia kwenu maaana mnavyoshushuana? mhhhhhh now i too smell smthing fishyy ..... oh no smthing chickenyyyyy
Kuna mtandao mkubwa sana utakaoshtakiwa, watoa comments, wapiga picha, pamoja na waliokuwa wakii-visit ile blog najua kuna wana JF wengi tu watakao simamishwa kizimbani.
hahhahahhaha sasa wakuuu naona badala ya ze utamu awe roho juuu na agonized imehamia kwenu maaana mnavyoshushuana? mhhhhhh now i too smell smthing fishyy ..... oh no smthing chickenyyyyy
Ila watam charge na sheria ipi?
Na furahia sana kuwa mwana Jamii,kwenye jamii kuna watu wa aina mbali mbali wenye upeo wakufikiria na wasio na upeo kabisa.JOSM bora uendelee na JOSM maana....inaficha mengi
poa mkuuu naona umekamia kuwatisha wenziooo,endelea bwana kujenga taifa wote tuko mkumbo huohuooo...............Hapa kila kitu kitajulikana mwenye kucomment kupost pic n'k.Mkuu nipo kazini,jioni na peleka report,
poa mkuuu naona umekamia kuwatisha wenziooo,endelea bwana kujenga taifa wote tuko mkumbo huohuooo...............
"Ipo ishara ya wazi kuwa wengi wataangamia na `Mzee wa Ze Utamu`, kwani amewataja wote waliokuwa wakimtumia picha na maelezo yaliyochafua watu pamoja na anuani zao. Vyote sasa vipo mikononi mwa polisi."
source; Mwananchi Read News
Na furahia sana kuwa mwana Jamii,kwenye jamii kuna watu wa aina mbali mbali wenye upeo wakufikiria na wasio na upeo kabisa.
Na furahia sana kuwa mwana Jamii,kwenye jamii kuna watu wa aina mbali mbali wenye upeo wakufikiria na wasio na upeo kabisa.
Haya kaka nimegusa nyongo yako kidogo tu kidogo ujisahau!!! Yuko wapi ndugu yangu SHY akusaidie kukuonyesha ni jinsi gani ya kuelezea mambo ya ki ICT.. wewe unaposema kuwa web mbalimbali zinasema fulani anahusika na ZEUTAMU kwa nini sasa usitupe link za hizo site.
Unaongelea habari hii?...kuna wanaotamani hili sheshe lingekuwa mambo ya 'April fool' au uvumi tu kama wa 'popo-bawa', kwani inasemekana;
twist and turns at every corner,hii habari kuandikwa na the GUARDIAN on sunday la england gives us a new impetus,NINI kinafichwa?????trust me hili gazeti sio a mickey mouse publication-kuna jambo hapa
Weka link ya UK Guardina ku cover hiyo habari....