Ze Comedy wamkumbuka raia mwenzetu Lau Masha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ze Comedy wamkumbuka raia mwenzetu Lau Masha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Watu, Jan 6, 2011.

 1. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Du raia lau masha yu wapi cku hizi??

  Nilishamsahau ze comedy wametangaza bro kafulia ni kweli?
   
 2. Monstgala

  Monstgala JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,082
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Mods peleka hii kitu kwenye jokes :alien:
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  haaaaaaaaaa haaaaaaaaaaa ma men masha whatsup buddy!!!!!!!!!
   
 4. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2011
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,437
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  Anzisha thread zenye mambo ya maana tafadhali! Sio kila ujinga ni wa kuanzishia thread!
   
 5. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Yanayotokea arusha hayamhusu huyu shabiki wa ze comedy! Tumuanzishie comedy forum.
   
 6. S

  Short white Senior Member

  #6
  Jan 6, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ongea vitu vya maana especially kipindi hiki cha matatizo ya Arusha!
   
 7. P

  Paul S.S Verified User

  #7
  Jan 6, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Jamani inamaana kwa tukio la arusha ndio kusema dunia imesimama yaani tusiongee mengine tubaki arusha arusha.
  com guyz kama huna cha kuchangia or u find this post is useless basi ipotezee kwa kukaa kimya
   
 8. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,362
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  zecomedy huwa siyo comedy ila satire,inayoonyesha mambo halisi yanayotokea hasa yahusiyo jamii yetu na mapungufu ya serikali na taasisi zake,
  huyu mheshimiwa mstaafu,alichukua samani na vitasa ktk office za bunge,hakutarajia kushindwa ubunge ,ukizingatia kuwa alikuwa waziri wa mambo ya ndani,mwenyekiti wa CCM,mh,Dr J.Kikwete alimtangaza hadharani(nilisikia ktk radio)kuwa ndio mgombea pekee aliyepo ktk jimbo,na ni mbunge anayengoja kuapishwa.asibweteke ili atetee kampeni za wenzake ktk majimbo mengine kwani lake tayari ameshachukua angoje kuapishwa.
  so Zecomedy wametukumbusha kuwa huyu jamaa yupo na amefulia kisiasa. pia iwe fundisho kwa wabunge tuliowachagua hata wa CDM,CUF kuwa wananchi wa Tz ya sasa wanapenda na kutaka kiongozi awe mwadilifu bila majigambo ya waziwazi
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Jan 6, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180


  Hili jukwaa la siasa brother.
   
 10. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  some kind of idiot:A S 465:
   
 11. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2011
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,660
  Likes Received: 415
  Trophy Points: 180
  <br />

  Uwongo mbaya, leo nimecheki TBC1 sijui nini, nikang'amua subject wa "amefulia" wa Ze Comedy ya leo obviously alikuwa Lau Masha. Lakini kama nilivyowahi kusema, he may be filthy, but guilty he ain't not
   
 12. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  mh haya endeleeni na ze comdey ya yusuf manj sisi tunajitayarish kwa ukombozi wa pili wa taifa letu
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  hii ni part ya siasa na mfano mzuri kwa kina RA
   
 14. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Ndo Mashaka Mwenyewe huyo

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...