Ng'wanangwa
hii ni alama ya uhusiano mwema kati ya Iraq na Marekani
Mkuu, ha ha ha ha!!! Afu Marekani wakawahi kuitumia? Too bad!!
Ng'wanangwa
hii ni alama ya uhusiano mwema kati ya Iraq na Marekani
kweli wewe ni janga kuu, kuna hoja gani ya kujibiwa hapa?
Kasome tamaduni za oman ujue maana ya upanga then urudi tena.
Endeleeni kupandikiza chuki, siku likitibuka hamna atakae salimika.
Mnawalaumu waislam juwa wanalalamika kila kitu kumbe na nyie ni walewale.
nani asiye jua kazi ya upanga/ jambia nini kwa waislam? Mimi ni muislam lakini kwa hali ya sasa ilivyo, na kwa jinsi mkulu alivyo kuwa akiutaja na kuupazia sauti udini, si afiki zawadi hii aliyo pewa. Kwa nini wasimpe tende/ haluwa au kikombe cha gahawa? Au hata kilemba au musuli/kikoi? Lazima tuwe na maswali ya kujiuliza kwa hili!!!!!!
Sasa jamani jamaa hata hatujajua ni mkristo wa dhehebu gani tumeishaanza kuutaja ukatoliki, kweli tutafika kwa staili hii wapendwa!dah,,,nilikua kwenye mchakato wa kuuliza swali hilohilo
Ile jezi je ataleta ukatoliki kwa njia ya mipira acha hizo fikiria ya maana nashangaa tena wanajifanya wasomi