Zawadi ya upanga aliyopewa Rais Kikwete na sultan wa Oman ina maana kubwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zawadi ya upanga aliyopewa Rais Kikwete na sultan wa Oman ina maana kubwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by promi demana, Oct 21, 2012.

 1. p

  promi demana JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari wakuu!

  Baada ya JK kwenda kwenye ziara nchini Oman, alitunukiwa zawadi ya upanga wa kivita kama ishara ya kuimarisha uhusiano baina ya nchi hizi Mbili ktk maswala ya uchumi.

  But in real sense zawadi hiyo haina maana halisi juu ya kile kilichosemwa kwamba ni ishara ya kujenga uhusiano, Pia imezidi kuacha maswali mengi kwa majority of christians kwamba huenda ni maandalizi ya the so called "kuendeleza dini kwa ncha ya upanga"

  Nasema haya kwa sababu leo hii nimepita katika makanisa zaidi ya 5 na hii ndo imekuwa habari ya mjini na watu wakihamasishwa kufanya maombi juu ya hili swala.

  My outlook!
  Nahitaji kwa anayejua juu ya ukweli halisi juu ya zawadi ya upanga so as to make it clear.
   
 2. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 950
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Ile jezi je ataleta ukatoliki kwa njia ya mipira acha hizo fikiria ya maana nashangaa tena wanajifanya wasomi
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  dah,,,nilikua kwenye mchakato wa kuuliza swali hilohilo
   
 4. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaanI ndio nimeamini kuwa Hata makanisa yanashiriki kwa fujo hizi.mtu anaona sawa kuwaambia wauminu wake kuwa Ile zawadi ni upanga wa kuleta vita alafu unajiita msomi hebu tuheshimu, tusome Mila Za watu wengine.

  upanga huo kwa waarabu wa Yemen na Oman nI ishara ya mtu mwenye heshima au kiongozi wa watu fulani.
   
 5. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,209
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Sidhani kama ni issue kubwa kiasi hicho. Ni sawa na alivyopewa Jezi ya Newcastle United alipoenda Uingereza au ya Real Madrid alipoenda Spain. Tujadili issues, haya mambo mengine ni madogmadogo tu
   
 6. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hivi kwa nini sisi waislamu tunaongoza kwa kuwa na majina feki humu jf.
  huanzaia kesho naanza kutumia jina langu halisi.
   
 7. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kwa hili la zawadi sijaona ubaya wake
   
 8. y

  yaya JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Speculations!!!
  Udini kila sehemu, Tz itafika kwenye nchi ya ahadi kweli? Ndiyo maneno aliyoambiwa wakati anakabidhiwa upanga kama zawadi?
  Mtoa mada, ninakushauri badala ya kuandika kila unachokisikia (na katika hilo ninadhani umelitunga mwenyewe), uwe unatafakari na matokeo tarajiwa kama yana faida au hasara kwa jamii.

  Ninachelea kusema kwamba wapo wana JF ambao wanadhani ni sifa kuanzisha au kuwa na idadi kubwa wa nyuzi walizozi-post humu katika JF!!???, kana kwamba tumo humu kwa ajili ya mashindano badala ya nia njema ya kubadilishana mawazo, kuelimishana, kukosoana na kupeana taarifa n.k.
   
 9. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ametosheka na suti sasa anaanza kukusanya panga.price ya huo upanga ni nn?
   
 10. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,929
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Labda amekuja nao kukomesha tabia zile za baadhi ya viongozi wa dini fulani ya kuhamasisha ushoga na ndoa za jinsia moja
  bravo jk..
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  hii ni alama ya uhusiano mwema kati ya Iraq na Marekani.
  iraq-usa.jpg
   
 13. M

  Mfikilwa JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 363
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Tusipende kuayakuza mambo ata kama hayako hivyo, mbona tunaishi kwa amani tu miaka nenda miaka rudi, sisi wenyewe ndiyo tutaharibu, kila kitu udini tu, mimi ni muislam, wewe ni mkristo, wapi shida, nenda kanisani kasali, naenda msikitini kasali, wazazi wako wangekuwa wangu, na wangu wako ingekuwa wewe muislam na mimi mkristo, tatizo wapi, tumeubwa hili tuishi, tupendane na kuheshimiana.

  Tupendane jamani haya mambo ya udini manayakuza wenyewe, mbona wamasai wana mapanga kibao.
   
 14. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35

  Bwana, tazama, hapa pana panga mbili, naye akajibu.... Tosha!..........maneno haya yameandikwa wapi na nani? yanahusu nini?
   
 15. mtu kitu

  mtu kitu JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  Je ukatoliki kule amerika ya kusini ? umeenezwa kwa amani ?
   
 16. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Aiseeee babaangu tujiandae kuchinjwa vichwa yetu kama kuku
   
 17. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Mkimaliza la udini, hamieni kwenye kuwagawa watanzania mambumbumbu kwenye suala la usimba na uyanga maana mengine yote tiyari na yameshachuja.
   
 18. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Jambia ni silaha kubwa aliyotumia bwanamkubwa kuineza dini yake! Lkn huenda wamebadilisha maana siku hizi, panga likawa ishara ya amani?!
   
 19. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Aiseeee babaangu tujiandae kuchinjwa vichwa yetu kama kuku
   
 20. Nipisheni

  Nipisheni Member

  #20
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio wanajifanya wasomi ni wasomi kweli,unataka kuwalinganisha na nani?Mtu aliyesoma ni mstaarabu,asiyesoma hata siku moja ustaarabu kwake ni mwiko
   
Loading...