Leo kipindi cha kuperuz na kudadiz,huyo jamaa anaitwa PGA ndo nani ,na yule mwezeka na kali kadada kananogeshaga mambo sana.
Hivi kuna vita kati ya kazeti la Tanzania daima na Clouds hiyo.Maana wanapiaga vijembe kitu kidogo sana ,eti kwenye captions kunaneno limekosewa ,badala ya Quality Centre imeandikwa Qurity central ,hivi hao jamaa wanazo kweli kichwani sijuwi?
Samahani Mkuu, lakini sijaelewa unasema nini hapaLeo kipindi cha kuperuz na kudadiz,huyo jamaa anaitwa PGA ndo nani ,na yule mwezeka na kali kadada kananogeshaga mambo sana.
Hivi kuna vita kati ya kazeti la Tanzania daima na Clouds hiyo.Maana wanapiaga vijembe kitu kidogo sana ,eti kwenye captions kunaneno limekosewa ,badala ya Quality Centre imeandikwa Qurity central ,hivi hao jamaa wanazo kweli kichwani sijuwi?
Kila udi efu em..
manukato kwa kwenda mbeleeeee
mi nabakwaga kila mara na mama mwenye nyumba wangu kwa kigezo kuwa eti nimechelewa kulipa kodi, sina wa kumwambia, nilisha wahi kumshitaki kwa mjumbe, mjumbe akanitimua eti nitoe "UTOTO" wangu, nikaenda kushtaki polisi, wakanitishia kunitia ndani iwapo nitaendelea kupeleka malalamiko ya kipuuzi
....hii tabia ya utegemezi kila mahala na kujijengea mazingira bila kuvua chupi mambo haiendi, ni ulemavu wa
akili ambao unampelekea mtu huyo kuwa mtumwa wa haki zake mwenyewe.
....ila je, wapokeaji zawadi hiyo nao tuwaeleweje maana kuna walionogewa nao kiasi kwamba bila 'zawadi' hiyo
hakuna haki wanayotoa!
kumekuwa na malalamiko mengi ya rushwa za ngono kwa wanawake na mabint towards wanaume. je hakuna maboss au ,mameneja wanawake ambao huwa wanahitaji rushwa za ngono kwa wanaume ili watoe ajira kwao?
on another side of the coin
hii mbona kali. Wao hutawaliwa arrogance zaidi.Na wana dharau kupita maelezo. Na mume ukiombwa rushwa hiyo. Ukatae. Utajuta utakavyonyanyasika hapo ofisini!
Leo kipindi cha kuperuz na kudadiz,huyo jamaa anaitwa PGA ndo nani ,na yule mwezeka na kali kadada kananogeshaga mambo sana.
Hivi kuna vita kati ya kazeti la Tanzania daima na Clouds hiyo.Maana wanapiaga vijembe kitu kidogo sana ,eti kwenye captions kunaneno limekosewa ,badala ya Quality Centre imeandikwa Qurity central ,hivi hao jamaa wanazo kweli kichwani sijuwi?
mimi kila mwaka nachukua zawadi ya mfanyakazi bora niko vizuri am professional ujue kuna mahali hapahongeki besides sijasoma elimu zenu uchwara za bongo. niko na confidence na kazi yangu ipo kwenye damu yangu siitaji kuhonga k nipate kazi cause nauzika kila mahali dunia nzima usipime
yote hayo n ni matokeo ya roho mbaya za wanaume kupenda kutumia udhaifu wa wanawake kujinufaisha kimwili. tuchukulie swala la ajira,suppose lizzy jinsi soko la ajira lilivogumu leo hii boss wa tbl hrm tena aseme anataka k katika wadada mia wangapi watakataa? maisha na wanaume ndo vinaharibu wadada.ila mimi namshukuru mungu toka la kwanza hadi chuo nilitumia akili yangu ata kazi yangu niliipata kiuhalali kabisa
ingawa watu hawaachi kuchonga ila ndo ukweli,