Sasa je. . .
1. Mtu anapoanza kuhonga mwili wake ili afanyiwe kazi yake (kusoma, kuwa na CV kali, good work ethics, experience n.k) kwanini anafanya hivyo?Ni kutojiamini (mwenyewe siwezi) au ni kuzungukwa na watu wasio na imani nae (wazazi, ndugu na jamaa wasioisha kumwambia hatofika popote)???
2.Je kuna hatari gani mtu kutegemea mwili wake badala ya akili na uwezo unaohitajika kupata kazi,kufaulu n.k?
3.Mtu kama huyu akija kuwa mzazi atakuwaje?Ataweza kumfundisha mtoto wake kuwa tofauti na alivyo yeye?
4.Malezi yanachangia vipi kuwafanya ndugu zetu wawe hivyo?
Paragraph ya mwisho inahusu sana.Unakuta wale ambao wako qualified wanakosa nafasi za maana kwa kushindwa kuridhisha hao wanaotaka kuzawadiwa ngono. . . matokeo yake hao wanaopewa hizo nafasi wanafanya mambo vuluvulu kwasababu hawana ujuzi wala hawajali kushindwa kwasababu kwao haiwezekani.Huyu ni virus mbaya sana. Kuna watu wanaamini kuwa they can always get what they want by using their bodies. This is too bad. Ndio maana hata mashuleni, vyuoni, degree za chupi ziko nyingi tu. Na hiyo kama unavyosema, haiishi hapo, hata makazini.
Hii ni tabia mbaya sana kwa kuwa inacreate unjustice kwenye jamii. mtu wa namna hii hata kama hawezi ku deliver, basi atapandishwa vyeo weee, na mwishoni atakwua mwanasiasa, maan ahuko ndio kumekufuru...
Futa hiyo kauli ya "wanawake wengi bana"kukosa kujiamini na kupenda kupata vitu kirahisi nafikiri ndo kunachangia sana. matokeo yake ni mabaya kwake zaid psychologically hata kujiamini kunazidi kupotea ,nasijui atajenga family ya aina gani.
japo s'tym wanawake wengi wanapenda kuvua chupi kwa watu waliowasaidia hata km halikuwa sharti la kumsaidia.
Well angalau sasa tuna matumaini ya kupata watu wachache ambao wakiwa kwenye nafasi za juu watatoa nafasi kwa wengine kihalali. Ubaya ni kwamba jamii yetu ndivyo inavyoongozwa, kwa kuunganisha viungo kwaajili ya favours.Ngono iko overrated sana kwa maoni yangu. Mimi sijawahi kabisa kuzuzuka na ngona hadi nikashindwa kujitambua.
Hivyo kamwe hakuna mwanamke atakayekuja kwangu kwa gia ya ngono adhanie eti nitampa favor flani. Never ever.
Halafu ni uchafu kwa mwanamke kujigawa gawa hivyo ili apewe favors.
Well angalau sasa tuna matumaini ya kupata watu wachache ambao wakiwa kwenye nafasi za juu watatoa nafasi kwa wengine kihalali. Ubaya ni kwamba jamii yetu ndivyo inavyoongozwa, kwa kuunganisha viungo kwaajili ya favours.
sidhani kama ni sahihiyote hayo n ni matokeo ya roho mbaya za wanaume kupenda kutumia udhaifu wa wanawake kujinufaisha kimwili. tuchukulie swala la ajira,suppose lizzy jinsi soko la ajira lilivogumu leo hii boss wa tbl hrm tena aseme anataka k katika wadada mia wangapi watakataa? maisha na wanaume ndo vinaharibu wadada.ila mimi namshukuru mungu toka la kwanza hadi chuo nilitumia akili yangu ata kazi yangu niliipata kiuhalali kabisa
ingawa watu hawaachi kuchonga ila ndo ukweli,
wewe vp si kweli mimi niko kwenye taasisi ambayo sijaona hicho kitukuna uzi uliwai kuwekwa hapa jf.na ulikuwa unaelezea ukubwa la tatizo ili la gift ya....
Na ilikuwa inasema 75% kama sikosei ya wanawake walioajiriwa serikalini na sector binafsi walivuliwa sketi.
Nilikua nakazia tu uzi.
Huyu ni virus mbaya sana. Kuna watu wanaamini kuwa they can always get what they want by using their bodies. This is too bad. Ndio maana hata mashulkeni, cyuoni, degree za chupi ziko nyingi tu. Na hiyo kama unavyosema, haiishi hapo, hata makazini.
Hii ni tabia mbaya sana kwa kuwa inacreate unjustice kwenye jamii. mtu wa namna hii hata kama hawezi ku deliver, basi atapandishwa vyeo weee, na mwishoni atakwua mwanasiasa, maan ahuko ndio kumekufuru...
wote kwanini umsaidie mtu kisa ngono? ni ufisadi piasidhani kama ni sahihi
unamlaumu anayeuza au anayenunua??
yote hayo n ni matokeo ya roho mbaya za wanaume kupenda kutumia udhaifu wa wanawake kujinufaisha kimwili. tuchukulie swala la ajira,suppose lizzy jinsi soko la ajira lilivogumu leo hii boss wa tbl hrm tena aseme anataka k katika wadada mia wangapi watakataa? maisha na wanaume ndo vinaharibu wadada.ila mimi namshukuru mungu toka la kwanza hadi chuo nilitumia akili yangu ata kazi yangu niliipata kiuhalali kabisa
ingawa watu hawaachi kuchonga ila ndo ukweli,