Zawadi ya mwaka mpya

Zawadi ya mwaka mpya

20171229_145855.png



20171229_150228.png


Gifts for ladies.
 
Wewe si unajiita wakili? mbona unaaibisha mawakili wenzako? acha njaa.
Mkuu sio njaa .. Muda mwingine mtu anatoa zawadi akiwa na nia njema tu... Let say ungekua ww unatoa offer kwa wana JF wenzako then tukakausha, nahisi haitapendeza..
 
Wakuu habari ktk kuufurahia mwaka mpya nitatoa zawadi hapa kwa members kumi wa kwanza wataoweka namba zao hapa I prefer Tigo ndo itakuwa rahisi zaidi kazi kwenu
Nb zawadi ni muda was maongezi tzs 10,000 kwa watu 10 itatolewa tar moja
Mkuu tarehe moja ndo hii... Vipi kale ka mzigo ketu tuliotoa nambaa?
 
hizi mbinu za kuanika namba af isome jina af tujulikane wakati humu ni hidden identity...NOOOO
 
Back
Top Bottom