Zawadi ya mpenzi wangu Munkari

Zawadi ya mpenzi wangu Munkari

looh! Ujue mwenzio had pressure next tyme ukitaka kunisurprise jaman uniambie utaniua mwenzio loh! Yani leo naomba nkutoe out tena uchague mwenyewe wapi wataka kwenda kuanzia lunch had dinner leo no kurudi nyumbani kila kitu juu yangu. waage kabisa jirani zako.. watu8 Lady doctor DEMBA Kaizer Heaven on hearth Mamndenyi na wengineo!
Hivi umenionea wapi shuga dadi wangu?
 
aiyaa..tunamzungumzia hubby wangu apa..
ndo haonekani
anaitwa nani? mie juzi kati nimeopoa shuga dadi humu humu kaniambia yupo single kwa muda mrefu sana. tunapendanaje sasa!!!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom